Sakata la Zumaridi na namna alivyokamatwa na polisi ni kichefuchefu, sheria haikuzingatiwa

Sakata la Zumaridi na namna alivyokamatwa na polisi ni kichefuchefu, sheria haikuzingatiwa

Zumaridi bado yumo ndani, ana kesi zingine mbili moja hauna dhamana.
Hakuna kesi hapo ile ni mbinu ya kumuachia kwa step kuficha aibu!
Polisi waliruka ukuta huwezi sema kawazuia, maana hawakufuata utaratibu wa ukamataji n.k kwahiyo hakuna kesi hapo
 
Hamna namna Serikali yetu inafanya mambo kienyeji
Kesi imeisha wameifuta!
Screenshot_20230208-202220.png
 
Nakubaliana nawe kwa maana ya ukiukwaji wa sheria ila mfalme wako anakashfu imani za watu wengine kitu ambacho kinaweza sababisha uvunjifu wa amani
Anakashfuje Imani za watu?
 
Kulikuwa hamna kesi ujinga tu wa polisi umeendelea kudhihirika wengine tulipinga namna ya ukamataji walioufanya na kumbambikiza kesi isiyo na maana mwisho wamesanda

Kwa hili watampa mileage sana huyu mungu wa kike na wafuasi wake
 
Mihemko tu watu husahau haki za msingi kwenye mambo
 
Zumaridi ni shujaa tangu alivyokatwa walimbambika tu
 
Mtu anakata mauno lakini wafuasi hawastuki bado wanamfuata [emoji848][emoji848]
 
Back
Top Bottom