Sakata limechukua sura mpya, Ashraf Hakim afungua kesi ya kudai alipwe nusu ya mali ya mkewe

Yani wanaume wa kiafrika kwenye masuala kama haya ndio wanajifanya wameukubali usawa, waambie nao wafanye kazi za ndani uone hilo timbwili, au waambie kuwa wanawake nao wanahitaji kuwa na wanaume tofauti maana hawatosheki na mwanaume mmoja usikie hayo matusi
 
Mkuu dume kufanya kazi za ndani ni big NO
Labda iwe marioo trust me
 
Mbona wewe una wanaume sita hatukusemi huku
Tumia mwili wako upendavyo
 
huyu jamaa anaona sifa sasa.. kitamkuta kitu maishani mwake bado kinda sana
Mkuki Kwa nguruwe Kwa binadam mchungu, maumivu atayopata huyo mwanamke baada ya kugawana pasu Kwa pasu ndo angeyopata mumewe iwapo huyo Dem angeshinda kesi.

Sasa Dem yamemgeukia yeye mwenyewe, siku zote malipizi ni hapahapa DUNIANI, amelipwa alichotaka kumfanyia mumewe.

LIWE FUNDISHO KWA WANAWAKE WOTE WENYE TABIA KAMA ZA HUYO DEM MWENZAO.

Ukitenda mema utalipwa mema, ukitenda mabaya utalipwa mabaya. Tendeni mema mlipwe mema.
 
Kaka sijui kijana sijui babu vyovyote vile tafadhali sana tuheshimiane sijakutag popote pale.
 
Wewe umenena uzuri mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…