Sakata limechukua sura mpya, Ashraf Hakim afungua kesi ya kudai alipwe nusu ya mali ya mkewe

Sakata limechukua sura mpya, Ashraf Hakim afungua kesi ya kudai alipwe nusu ya mali ya mkewe

Yani wanaume wa kiafrika kwenye masuala kama haya ndio wanajifanya wameukubali usawa, waambie nao wafanye kazi za ndani uone hilo timbwili, au waambie kuwa wanawake nao wanahitaji kuwa na wanaume tofauti maana hawatosheki na mwanaume mmoja usikie hayo matusi
 
Mkuu dume kufanya kazi za ndani ni big NO
Labda iwe marioo trust me
 
Yani wanaume wa kiafrika kwenye masuala kama haya ndio wanajifanya wameukubali usawa, waambie nao wafanye kazi za ndani uone hilo timbwili, au waambie kuwa wanawake nao wanahitaji kuwa na wanaume tofauti maana hawatosheki na mwanaume mmoja usikie hayo matusi
Mbona wewe una wanaume sita hatukusemi huku
Tumia mwili wako upendavyo
 
huyu jamaa anaona sifa sasa.. kitamkuta kitu maishani mwake bado kinda sana
Mkuki Kwa nguruwe Kwa binadam mchungu, maumivu atayopata huyo mwanamke baada ya kugawana pasu Kwa pasu ndo angeyopata mumewe iwapo huyo Dem angeshinda kesi.

Sasa Dem yamemgeukia yeye mwenyewe, siku zote malipizi ni hapahapa DUNIANI, amelipwa alichotaka kumfanyia mumewe.

LIWE FUNDISHO KWA WANAWAKE WOTE WENYE TABIA KAMA ZA HUYO DEM MWENZAO.

Ukitenda mema utalipwa mema, ukitenda mabaya utalipwa mabaya. Tendeni mema mlipwe mema.
 
Acha upuuzi binti mdogo wewe, mimi sina muda wa kumtafutia sababu huyu dada enu, nipo zangu jf kutoa stress anakuja na matusi ya kishoga, huu ushoga na usagaji umewakaa akilini sana kiasi kwamba mnaona ni tusi linalomuuma kila mtu.

Na huyu rafiki yenu ameshatoaga ushuhuda humu kwamba anafanya usagaji, tukianza kuwafunga na wakimuendea chimbo mtamkuta central sababu yy mwenyewe alishatoa ushahidi humu.

Angetumia matusi ya kawaida angedhurika nn?
Kaka sijui kijana sijui babu vyovyote vile tafadhali sana tuheshimiane sijakutag popote pale.
 
Yeye amejali Child sapoort ndio maana amedai mali wagawane...Maana Hakimi kama Hakimi hana Mali yoyote sasa angetoa wapi hizo hela za Child supporrt?? So itabidi apewe nusu ya mali za mkewe halafu gharama atakazotakiwa kulipa child support zikokotolewe kutokana na hizo mali atakazogawiwa.
Wewe umenena uzuri mkuu
 
Back
Top Bottom