Sakata limechukua sura mpya, Ashraf Hakim afungua kesi ya kudai alipwe nusu ya mali ya mkewe

Achana nae huyo dear wangu tusimpe airtime tena, kuna watu wazima na watu wazima hovyo, hana personal details zangu zozote zaidi tu ana anger issues probably kuna Mwanamke kama Hiba alitenda jambo akaacha kovu kwenye moyo wake,

Wanawake jeshi kubwa [emoji123][emoji23]
 
Hata kam alicheat je alikimbia familia?je ndo alitakiwa kumkomoa mmewe?
Bro, ngozi nyeupe sio kama hizi nyeusi zilizokosa lishe,
Onced you cheat it is over, amepeleka familia Dubai halafu huku nyuma akaanza kuleta wanawake katika nyumba yake na kama haitoshi akambaka na binti hapo hapo nyumbani kwake,

Wa kuvumilia hayo ni hao Wanawake zenu wasiokua na career wanasingizia Watoto siwezi kuondoka matokeo yake mnawaletea HIV.
 
Kwanza Povu linatutoka kwenye huu uzi wakati hii habari ni ya uongo [emoji1]
Hakimi hajafungua kesi ya madai dhidi ya mkewe, tumeingizwa maboya na sie tumejaa,

Tangu kesi ya Talaka sio Hakimi sio Hiba walioongea kitu, probably wanazungumza kifamilia, ila huyo Hakimi hawezi kua mjinga kiasi cha kufungua kesi kudai pesa za Mwanamke, hayo ni mawazo ya Wanaume wachovu wa Kitanzania wanaomiliki smartphone, kibamia na goroli mbili [emoji1]
 
Wewe unamiliki matako na ****
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…