Sakata limechukua sura mpya, Ashraf Hakim afungua kesi ya kudai alipwe nusu ya mali ya mkewe

Hii taarifa ni ya uongo, Hakimi hajafungua hiyo kesi kwa hiyo save pumzi yako,

Pia Hiba sio Slay Queen ana kazi zake zinazomuingizia kipato, kutaka mgawanyo wa mali ni haki yake kama Mke aliyeishi nae miaka 5 na kuzaa nae juu sababu walichuma pamoja.
 
Kwa hiyo Sikweli kwamba mke wa Achraf Hakimi alitaka wa achane?
 
Wameishi miaka 2 sio 5 kama unavyosema iweje uhitaji nusu kwa nusu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…