Sakata limechukua sura mpya, Ashraf Hakim afungua kesi ya kudai alipwe nusu ya mali ya mkewe

Mbakaji, mzinifu wa nje ya ndoa, mbabaishaji, na bado mdhulumati..... Nchi yenyewe Ulaya yeye mwenyewe Muarabu koko wa kutoka Afrika, nipo nimekaa paleeeeeeeeee
Hahahahahah sasa kamdhulumu nini huyo kibwengo in chief πŸ˜€?

Mtu kuomba wagawane mali na mkewe kuna ubaya gani ikiwa ni haki yake kisheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…