Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Atapata tena wenye true love maana wazi wanajua kwa mjuba hawatoboi 😀Huyo bro Atapata wanawake kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atapata tena wenye true love maana wazi wanajua kwa mjuba hawatoboi 😀Huyo bro Atapata wanawake kweli?
Jamaa mshamba sana na limbukeni wa mali hiyo kesi yake ya ubakaji wafanye chapu itoke hukumu😬😬Mwanaume kushindana na Mwanamke huo ni Ujinga,
Mwanaume kushindana na Mwanamke uliyefunga nae ndoa na kuzaa nae watoto huo ni Uboya.
Watamforce apromote ushoga pale psg??Sa hv tunamsifu ila wazungu wana sehemu watambinya pumbu tuu , ngoja tuone
Hahahahahah atawapata tena wazuri zaidi huko sokoniatanunua tu.. mbona nyingi zina uzaaa 😅😅
Tulio uone best hiba atakavyo pindua meza huyo kiumbe atajutaaaHadi sasa 2-0
Sokoni huwa kuna machine za hatari, ni wewe tu siku hiyo una mood ganiHahahahahah atawapata tena wazuri zaidi huko sokoni
Sawaaa,
Ila ajue anajiharibia taswira yake hasa hizo Nchi za Ulaya, nimekaa paleeeee
Eeh yani unachagua tu kama Renji au LC300 unaruka nayoSokoni huwa kuna machine za hatari, ni wewe tu siku hiyo una mood gani
🤣🤣🤣🙌atanunua tu.. mbona nyingi zina uzaaa 😅😅
Mmeumia sana tapeli mwenzenu kuaibika. 😀Jamaa mshamba sana na limbukeni wa mali hiyo kesi yake ya ubakaji wafanye chapu itoke hukumu😬😬
🤣🤣🤣🤣Timu Hiba atukubali anakufa mtu dadekii😬😬
Mbakaji, mzinifu wa nje ya ndoa, mbabaishaji, na bado mdhulumati..... Nchi yenyewe Ulaya yeye mwenyewe Muarabu koko wa kutoka Afrika, nipo nimekaa paleeeeeeeeeeTaswira iharibike kwa kuachana na mke janja janja [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kama tako gumu, tako teke teke, kimbaumba, inye gwede gwede, manyama manyama, kiuno bila mfua.. yanii unakuwa na full option mzeeEeh yani unachagua tu kama Renji au LC300 unaruka nayo
Hahahahahah sasa kamdhulumu nini huyo kibwengo in chief 😀?Mbakaji, mzinifu wa nje ya ndoa, mbabaishaji, na bado mdhulumati..... Nchi yenyewe Ulaya yeye mwenyewe Muarabu koko wa kutoka Afrika, nipo nimekaa paleeeeeeeeee
Ndio ninachowaambia hapa, ukizingatia Mdada ni Mzungu afu yeye ni Muarabu kutoka Afrika,Sa hv tunamsifu ila wazungu wana sehemu watambinya pumbu tuu , ngoja tuone
Unataka ugomvi afu ukimbieTulia wewe kumbe akili yako ndogo kiasi hiki aisee [emoji3]
Hahahahahah sasa kamdhulumu nini huyo kibwengo in chief 😀?Mbakaji, mzinifu wa nje ya ndoa, mbabaishaji, na bado mdhulumati..... Nchi yenyewe Ulaya yeye mwenyewe Muarabu koko wa kutoka Afrika, nipo nimekaa paleeeeeeeeee
Haya yangu macho, panapo uhai tutaonaHakimi ni mswahili tena anatumia ile methali ya. AKUANZAE....
Kuna tatizo ktk washauri si bure