Sakata limechukua sura mpya, Ashraf Hakim afungua kesi ya kudai alipwe nusu ya mali ya mkewe

Baada ya Mchezaji maarufu wa PSG ya ufaransa Ashraf Hakim kushinda kesi dhidi ya madai ya mkewe kuomba mahakama agawiwe nusu ya mali za Mumewe na kushinda baada ya mahakama kuchukunguza na kukuta hamiliki mali zozote kutokana na mali zote zimewekwa kwa jina la Mama yake.Ashraf hakim amekuja kivingine ameiyomba mahakama imgaie nusu ya mali anazomiliki mkewe.

Hapo kavaa akili ya utoto.
Akumbuke kuna child support atakayotakiwa kumpa huyo mama na ni hatari kutengeneza mazingira ya chuki au uadui na mama wa watoto wako
 
Baada ya Mchezaji maarufu wa PSG ya ufaransa Ashraf Hakim kushinda kesi dhidi ya madai ya mkewe kuomba mahakama agawiwe nusu ya mali za Mumewe na kushinda baada ya mahakama kuchukunguza na kukuta hamiliki mali zozote kutokana na mali zote zimewekwa kwa jina la Mama yake.Ashraf hakim amekuja kivingine ameiyomba mahakama imgaie nusu ya mali anazomiliki mkewe.

Vzuri kabisa šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
Hyo ndo dawa ya wadangaji.
 
Back
Top Bottom