Sakata limechukua sura mpya, Ashraf Hakim afungua kesi ya kudai alipwe nusu ya mali ya mkewe

Sakata limechukua sura mpya, Ashraf Hakim afungua kesi ya kudai alipwe nusu ya mali ya mkewe

Unajua nini hiki anachofanya hakim haukutakiwa afanye kibinadamu angesamehe tu lakini kutokana ulaya kuwa na sheria zinazompa nguvu kubwa wanawake especially kwenye masuala haya ya divorce na kugawana mali kulingana na Hili imesababisha wanawake wengi wa uko ulaya watumie Huu mwanya kufanya utapeli wa ndoa ni kama kilichomtokea Mchezaji maarufu wa Zamani wa Arsenal Ebouer ambaye alifilisiwa kila kitu na mzungu mpaka nyumba walikuwa wanaishi bila hata huruma akawa masikini baada yakumkuta bahati nzuri team yake ya Zamani ikajitolea kumsaidia kiuchumi wapo Wanaume wengi wamehathirika na hizi sheria za ulaya I'm sure hiki alichofanya hakimi japo sio vizuri kurudisha ubaya kwa ubaya lakini kimetoa fundisho kubwa Sana na kinaweza kuleta mabadiliko kwa kiasi kubwa mno.
nguvu To yeye
Dr. Mariposa
Msanii
Mshana Jr
Numbisa
Hatari sana.
Nliona mchezaji mwingine sijui wa team gani gani mali zote aliandika jina la mama ake
Mwisho wa siku ndugu wa mama ake waoamdamganya wakagawana mali zote na huyo maza kijana akabaki mweupe peeeh.
 
Hapo kavaa akili ya utoto.
Akumbuke kuna child support atakayotakiwa kumpa huyo mama na ni hatari kutengeneza mazingira ya chuki au uadui na mama wa watoto wako

Sasa sheria hazifanani kote ukute anataka nusu ya mali ili aitumie kama child support. Hakim hana mali ni za mama yake kisheria na anaweza kusema watoto warudi kwa mama yake walelewe kwao kama yeye anavyolelewa na mama mzazi kama na dada atasema anashindwa kuwalea bila msaada wa hakim. Mahesabu ya dada kushinda ni magumu sana
 
Hapo kavaa akili ya utoto.
Akumbuke kuna child support atakayotakiwa kumpa huyo mama na ni hatari kutengeneza mazingira ya chuki au uadui na mama wa watoto wako
Child support atatoa nini na hana kitu? Labda bibi mtoto atoe
 
Hapo kavaa akili ya utoto.
Akumbuke kuna child support atakayotakiwa kumpa huyo mama na ni hatari kutengeneza mazingira ya chuki au uadui na mama wa watoto wako
Acha ujinga wako nani ameanza kutengeneza hiyo chuki na uadui?

Kisa ni mwanamke mnamtetea matako ya fisi nyie
 
Mwanaume kushindana na Mwanamke huo ni Ujinga,
Mwanaume kushindana na Mwanamke uliyefunga nae ndoa na kuzaa nae watoto huo ni Uboya.
Ila mwanamke kushindana na mwanaume aliyezaa nae ni ujanja??
Matako nyie mijitu mibinafsi na michoyo
 
This has got some stupid traction from people who have zero knowledge about how law works. If only it was this easy to escape from alimony and stuff?🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️🤷‍♀️

How is he gonna claim his salary on the name of his mother? I am sure the PSG contract is on his name.. Not his mother😊
 
Kama anajielewa mwambieni afute comment zake za matusi na mimi nitafuta zangu, simple and fuckin clear. Asidhan toka 2015 humu hatuna personal details zake, we start this here and end it here.
Kwa kua una personal details zake ndio maana umemuattack ili umdhalilishie wazazi wake!? Kijana kua na kiasi hii ni dunia tena ya mtandao hujui umfanyiaye ubaya leo kesho yatakurudi, na suala lake la usagaji alileta public angetaka kujificha angekaa nalo kimya kwanini iwe fimbo ya kumchapia utasema alikuomba mtaji wa biashara!

Tuwe na kiasi binaadam uungwana haulipiwi, yangu ni hayo tu uwe na usiku mwema.
 
Back
Top Bottom