Sakata linaloendelea ndani ya Simba SC liko hivi...

Mo ndie alitoa pesa za usajili ndani ya Simba SC kabla hajasafiri kwenda Sudan wakati ule, kama unabisha, basi tuambie pesa za usajili Simba this time zimetoka wapi utupe na ushahidi.

Huu utoto wenu wa kujidai mna vyanzo vyenu ndani ya Simba SC sijui mtauacha lini.
 
Wakijiweka mbele kwenye mambo ya Simba sc mnasema matajiri hawatakiwi kushinda mitandaoni, haya sasahivi wamekaa kimya mnaanza kuulizana tena.

Kinachowasumbua wengi wenu ni ukapuku na ugumu wa maisha mnayopitia huko mitaani kwenu.
Utopolo wanateseka sana, ile sindano ya Okrah waliyodungwa jana bado inawatoa damu.
 
Wewe Ni Kenge the.

Mkataba na sport pesa umeisha ulitaka babako awe mdhamini.Tiktok,sport pesa,Vodacom wote walikuwa ktk mazungumzo y na Simba,Mbet kasema hela ya maana akawa mdhamini mkuu.sasa hivi mnaleta uhuni wenu humu.

Hata Yanga wanaangalia pia wamchukue mdhamini yupi,Ni maslahi yanaangaliwa.

Inaonyesha Kuna watu mlikuwa na kampuni zenu mfukoni Sasa mmefeli.

Mtahangaika Sana kunguru nyie. Mirija ya upigani imezibwa, mnahaha. Madume mazima na ndevu zenu mpaka maka*ion mnahaha na mtoto wa kike. Barbara amewashika pabaya shenzi nyie.

Kimsingi huna kipya.

Km ww Ni Utopolo nenda ukamlipe Aziz Ki hela za usajili , na mshahara wake nasikia umewashinda, kazi kushindana na Simba bila mipango. Ki anataka milioni 35 na hizo hela hazipo au utopolo hawana uchumi huo.
 
Huyo Kigwa aliyeomba mkopo wa bodaboda au mwingine?
 

Unafahamu kwanini kambi ya Simba SC haikuwekwa MAREKANI?

Badala yake wameipeleka Misri?
 
Sasa kama hashindi mitandaoni wewe outsider unaeshinda mitandaoni unawezaje kujua habari zake na status yake yake ya kifedha, au wewe ni mke wake?

Nina shinda vijiweni na hao viongozi wenu mlio wapigia kura kwenye mkutano mkuu wa klabu.
 
Unafahamu kwanini kambi ya Simba SC haikuwekwa MAREKANI?

Badala yake wameipeleka Misri?
Umeulizwa ulete ushahidi unaotetea hoja yako kuwa MO hausiki tena na Simba Sc kwakuleta taarifa za nani aliyekusika na usajili huu wa Simba Sc, wewe unarukia mada nyingine.

Mnapoamua kujadili hoja (hasa kwa maandshi) jaribuni kuwa systematic na sio kuzijadili kiumbea-mbea, Dr. Kumbuka ni vyema ukajirekebisha katika hilo.
 

POVU lote hili unazungumza masuala ya Udhamini.

Tunazungumza vuguvugu lililopo ndani ha Klabu.

Hatujadiri masuala madogo madogo.
 
Tena umempatia haswaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hana lolote mambo ya soka hayawezi, yeye abakie kuwazungumzia konde na kajala.
Fala mmoja tu muoga mikorogo (kapuku), anakuja kutaka kuwachota watu kuwa ana urafiki na watu bodi ya wakurugenzi wa Simba Sc.

Hivi seriousily mtu mwenye wadhifa wake anaweza kuwa na potential friendship na kichwa cha namna hii? Kichwa ambacho kinaonekana ni kibovu tu hata kupitia maandishi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…