Sakata linaloendelea ndani ya Simba SC liko hivi...


Nimeuliza swali UJAJIBU.

Nadhani utakuwa umeelewa Viguvugu linalo endelea klabuni na Kubadirika kwa eneo la kuweka kambi.

[emoji91][emoji91]
 
Aina ya ushabiki wa Tanzania ndo huu
Maana yake hata wewe ukiona Yanga wanashida unafurahi .. bila kujua kuwa Simba imara na Yanga imara ndo maendeleo ya soka Tanzania
Kweli naamini ushabiki wa mpira Tanzania uswahili mwingi sana

Vijana wa humu wengi ni WAHUNI walio shindikana na familia zao.[emoji23][emoji23]
 
Yaani hawakuamini? achana nao mashabiki maandazi hao..team isiposhuka daraja msimuu huu itakuwa maaajabu.. umeona wenzao yanga walivyosajili majembe ya nguvu tena kwa kuvunja benki siyo free transfers? utalinganisha na ushuzi waliosajili simba?
Acha wanga
 
Aina ya ushabiki wa Tanzania ndo huu
Maana yake hata wewe ukiona Yanga wanashida unafurahi .. bila kujua kuwa Simba imara na Yanga imara ndo maendeleo ya soka Tanzania
Kweli naamini ushabiki wa mpira Tanzania uswahili mwingi sana
Hiki ndo kinachonifanya niwaone mashabiki wa hizi timu 2 za Kariakoo kama wahuni tu. Wakati Yanga inatambulisha wachezaji walikuja Simba na ujinga mwingi mpaka wa kukosoa majina ya wachezaji.

Kabla hilo halijapoa Simba walipoanza kutangaza usajili Yanga wakajibu na upuuzi mwingi mara Mnigeria wa Chumbageni mara mchezaji kashusha daraja timu 3!

Yaani ni vurugu utadhani watoto wa mitaani. Mwisho nikashangaa Wasemaji wa vilabu nao wakawa na mawazo ya jikoni kuponda usajili wa wenzao.
 
Timu inamashabiki wamechomekwa mwiko nyuma ndo hawa wanaandika vitu vya kuokota mitaani.
 
Binafsi sikubaliani na namna ya uendeshaji wa team anaotumia Barbra ila ulichoongea hakina ukweli.
Kwa Barbra ni suala la muda tu ataondoka Simba! Swali ni nani na wa upande gani atakuja kama CEO? Hapo ndo kimbembe. Hizi timu bila kusimama watu wenye misimamo zinakufa. Wakitegemea mawazo ya kina Kilomoni na Mpili wataua timu.
 
Kwa Barbra ni suala la muda tu ataondoka Simba! Swali ni nani na wa upande gani atakuja kama CEO? Hapo ndo kimbembe. Hizi timu bila kusimama watu wenye misimamo zinakufa. Wakitegemea mawazo ya kina Kilomoni na Mpili wataua timu.
Nilipenda sana uongozi wa Magori
 
Sasa mbona hujaeleza hiyo namna ya uendeshaji ambayo Huyo Barbra analalamikiwa? Yani umeruka Juu juu tu. Je kama walamba asali wa Simba wamezibiwa mianya yao ya upigaji tutajuaje?

Eleza kwanini Mo amesusa, kwann Barbra analalamikiwa, kama ni Hatua mbovu anazozichukua ziweke hapa tuzijue
 
Yaani hawakuamini? achana nao mashabiki maandazi hao..team isiposhuka daraja msimuu huu itakuwa maaajabu.. umeona wenzao yanga walivyosajili majembe ya nguvu tena kwa kuvunja benki siyo free transfers? utalinganisha na ushuzi waliosajili simba?
[emoji23][emoji23] kweli huko mwenye akili ni mzee JK tu [emoji23][emoji23]
 
Tatizo elimu yako ni ndogo jinsi unavyowasilisha upuuzi wako haitajiki elimu yeyote kujua wewe hata elimu ya secondary huna au ulizungusha zero hakika na kama ulipata zaidi ya hio nipo radhi niweke pesa popote.
Hujui kuwa CEO hawezi kufanya chochote bila maagizo ya bodi ya wakurugenzi!!huwezi kuelewa hili kwasababu ya upeo wako na elimu yako ndogo, na maamuzi ya vikao vya bodi ndio maelekezo kwenda kwa CEO, sasa wewe kuandika kuwa eti wajumbe hawakubaliani nae ni ujinga tu na porojo zako.

Mkataba na sportpesa uliisha na kampuni mbalimbali zimejitokeza kuomba,yeye CEO jukumu lake ni kupeleka waombaji wote kwenye board,board inaunda kamati kupitia mapendekezo yote, inachagua kampuni iliyoleta ofa nzuri kwa vigezo na mashart, kisha CEO anapewa greenlight kusaini contract.

Sasa wewe ulivyo mjinga unashindwa kutofautisha mwekezaji na mdhamini hakuna mwekezaji anaekataa udhamini wowote mzuri wenye pesa nono ndio lengo la muekezaji ndio faida zenyewe hizo,ila kwakuwa wabongo wengi mna elimu za kata hamuezi kuelewa hilo.

Unafungua nyuzi kila dakika mtu akisoma tu anajua ili popoma tu, kuna mwanazuoni mmoja alisema duniani watu wa kuogopwa ni wajinga maana ndio wengi, sasa wewe umedhihilisha hivyo,ujinga mzigo wa mavi.
 
Ukiachana na Uyanga wangu.

Pale Simba nina washkaji wengi sana waliopo ndani ya Club Board.

Nje ya hapa mimi ni mtu wa watu.
Huna lolote ndiyo maana hata habari uliyoleta ni famba ya kufikirika tu. Umetumia kituo cha radio ya mdogo wako wa kufikia kuichafua Simba sasa umehamia huku. Wewe ni mbea wa kawaida tu wa vijiwe vya umbea
 
Tulia wewe kibwengo, Babra yupo sana
 
Yaan tatizo linaanzi kwa Okrah kutua msimbazi,utopolo hamtoacha kuweweseka mpaka mwende kuzimu
Kama kipindi kile Morrison akiwa Simba siku akifunga goli kesho yake wanaamkia CAS na porojo nyingi mitandaoni. Na bado zinashuka mashine kubwa ndiyo watatamani kunywa sumu kabisa
 
Nina shinda vijiweni na hao viongozi wenu mlio wapigia kura kwenye mkutano mkuu wa klabu.
Kuna mmoja ni mumeo wa hiari ndiye anakulisha hayo matango pori baada ya kuzobiwa mianya ya upigaji. Ila mkewe akijua kuwa wewe ni mgombea mwenza wake shauri yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…