Sakata linaloendelea ndani ya Simba SC liko hivi...

Huko Yanga kuna chuo cha kuzalisha wajinga na mleta uzi huu ni mhitimu wa chuo hicho hapa ndiyo anaonyesha umahiri wa kile alichohitimu. Kutwa moja anaanizisha nyuzi zaidi ya 20 kuikandia Simba kwa kutumia rejea za vijiwe vya umbea.
 
MO kasusaa...BABRA anawaburuza...KIGWANGALA anataka kulipa kisasi cha kunyimwa mkopo... Mashabiki wanaambiwa MBET mdhamini mpya bila kusema thamani ya mkataba waafrika bhana 😀 😀 😀 suala la mdhamin kutokuweka hela taslim ni uhuniii kama wa MO tu
 
Naona anamsifia sana H. Manara siku za hivi karibuni
 
Baba mwenye mtt mkubwa kuliko barbra hawezi akawa busy na mada kama zako

Inaonekana baba yako aliwapata akiwa na miaka 35.

Nilizaa mtoto wa kwanza nikiwa na miaka 18 mwaka 1982.

Huyu wa kwenye avatar ni wa tatu kuzaliwa.
 

Ndio maana wakaitwa watani wa jadi. Just kutaniana no hard feeling.
 

Tarehe moja mwezi wa nane ndio tarehe waliokubaliana kuweka mambo wazi
 
Unafahamu kwanini kambi ya Simba SC haikuwekwa MAREKANI?

Badala yake wameipeleka Misri?
Nafahamu.

Kambi wameipeleka Misri kwasababu kocha ametaka timu iende nchi yenye hali ya hewa ya joto.

Next year ndio wanaweza kuipeleka timu Marekani, DC United wameshaongea na Simba SC kuhusu hilo, na hao DC United watahusika kuwatafutia Simba SC mechi za kirafiki toka kwa timu nyingine za ligi kuu ya Marekani.

Una swali jingine uto?
 
Huyu uto dawa yake ni kumtoa utumbo tu, hapa hata akiruka ruka nitamdungia sindano huko atakaporukia, wamezoea kuleta umbea huku halafu wanajidai wako jikoni, wana marafiki ndani ya Simba, kumbe wako uswahilini huko wanajitungia tu!
 
Sasa hata MO akiendoka unadhani simba itapitisha bakuli kama yanga simba ni brand kubwa matajiri wote Tanzania wanataka kuwekeza simba akiwemo mume wenu GSM na mzee bakhresa MO analijua hlo ndo maana licha ya maneno yote kutoka kwa maadui bado anaing'ang'ania simba.
 
Unawashwa sana na mambo ya Simba,,kama kweli Kuna migogoro Simba basi we kama utopolo ndo inabidi ufurahie sasa sio ujifanye unaishauri klabu bora kabisaa Tanzania
Wachezaji wenyewe waliowaleta wote free agent aziz ki mpaka leo anawasumbua na anajuta kuikacha simba wamemuahidi vitu ambavyo ni ngumu kumtumizia ili asi sign simba sasa kazi wa nayo maana kila siku anakuja ila hafiki.
 
Inaonekana baba yako aliwapata akiwa na miaka 35.

Nilizaa mtoto wa kwanza nikiwa na miaka 18 mwaka 1982.

Huyu wa kwenye avatar ni wa tatu kuzaliwa.
Sasa umesikia barbra ni wa 82? Yule ni wa 70 something.
 

Kuna kitu mzee mwanzangu Bw Try Again amepotoshwa hapa na team yake.

Wanangoja Yanga SC watangaze thamani ya deal la jipya na sportpesa. Ili tu nawao wataje dau la juu kidogo ili kutengeneza mazingira ya kuonekana Simba imewashinda Yanga kwenye deals za mdhamini wa kifuani.
 
Acheni kuzusha zusha mambo yasiyo kuwa na msingi.

Itawafaa nini nyie maadui wa Simba kila siku kumsakama yule Binti.

Acheni uswahili swahili, hayo mambo yenu yaishie huko huko vijiweni.
 
Mtu mwenyewe hata kuandika hujui unataka tukuamini
 
huna kili au hujamsikia kingwa kaongea nini ..afu kuhusu huo mkataba mbona toka mwakajana tunalijua sisi wanasimba unaongea uharo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…