Sakata Mkataba wa Bandari: Wakili Mwabukusi asema asiyetaka kukosolewa aondoke kwenye ofisi za Umma

Akina Mangungo hawastahiki heshima hata kidogo, wadhihakiwe kwa kadri inavyowezekana
 
Kama hutaki kebehi na dharau si muachie hizo nafasi
Mpewe nyinyi Chadema wenye mwenyekiti wa maisha? nyinyi hata u mayor tu hampewi na mkipata tuna pendua meza sababu nyinyi hamstahili hata kuongoza kijiji. watu gani hamna sera mnadandia habari zenye ku trend. Juzi mmeanza ohh Ali Karume hawezi kufukuzwa tu hivi hivi yanawahusu nini? wale wanawake 19 wamewashinda. Na wale sio wao nguvu za CCM nyuma. Ndio ujue power tuliyonayo. Sasa subiri 2024 ndio mtatafuatana wajinga wakubwa nyinyi.
 
Ngoja waje uvccm!!
 
Mtabeba ila sio kwa kura halali, bali kwa mbeleko ya vyombo vya dola. Uwezekano wa CCM kushinda kihalali uliisha rasmi uchaguzi wa 2005. Toka hapo wizi na kubaka mchakato wa uchaguzi ndio imebaki njia pekee ya CCM kubaki madarakani kwa shuruti.
Na hili milele hakuna chombo cha usalama kikawapa nchi nyinyi kwanza tafuteni hana u mayor tu mpate ujuzi.
 
Kwa taarifa yako, kukosoa kwa staha ndio kumefanya nchi hii kuendelea kuwa na mifumo dhaifu ya kiutawala. Na lugha ambayo viongozi wanazielewa ni hizo za kuudhi. Unaingia madarakani kwa njia za kishenzi, kisha unalazimisha kuheshimiwa!
 
Na hili milele hakuna chombo cha usalama kikawapa nchi nyinyi kwanza tafuteni hana u mayor tu mpate ujuzi.
Nchi inatolewa na chombo cha usalama? Kama ni hivyo huwa tunaenda kwenye mstari wa kura kufanya nini? Nyie machafuko tu ndio yatawafanya muheshimu chaguzi za nchi hii.
 
Nchi inatolewa na chombo cha usalama? Kama ni hivyo huwa tunaenda kwenye mstari wa kura kufanya nini? Nyie machafuko tu ndio yatawafanya muheshimu chaguzi za nchi hii.
Kwani wewe hulijui hilo? nakushangaa sana kama unaamini iko siku utaiondoa CCM kwa kupiga kura yako. CCM haitoki CCM ni zaidi ya chama ila manweza kuja kuomba uwakilishi tu tukawapa baadhi ya viti kuonesha na nyinyi mumo mpate kula ruzuku kidogo.
 
Nyinyi mshukuru sana Mungu alimchukua JPM mapema angewarudisha kwenye mapango mlikotoka. Mama katukosea sana na huruma zake. Ingepita operation moja kabambe ndio mngeshika adabu mbwa nyie.
Na wewe ni walewale.
Kwa nini unatukana?
Umeshindwa kujibu hoja umeamua kutukana?
 
Nyinyi mshukuru sana Mungu alimchukua JPM mapema angewarudisha kwenye mapango mlikotoka. Mama katukosea sana na huruma zake. Ingepita operation moja kabambe ndio mngeshika adabu mbwa nyie.
Rais ni mtumishi wa Wananchi, Wananchi siyo watumishi wa Rais. Rais akienda kinyume, waaniri wake (Wananchi) wanalo jukumu la kumhoji. Wewe uliyejenga fikra kuwa Wananchi ndo wameajiriwa na Rais uko nyuma sana.
 
Ni mwendo wa spana tu,yaani hawa wateuzi wa mama wanaamini kufanya kazi lazima kufanya kazi ya Uchawa,hii nchi mbona wanaibisha Elimu yetu?
 
Ngoja tuone
 
Na wewe ni walewale.
Kwa nini unatukana?
Umeshindwa kujibu hoja umeamua kutukana?
Ndio lugha wanayoelewa. Nilianza na lugha nikadhani tutashinda kwa hoja tu lakini wewe ukiwa tofauti na mtu basi anaanza matusi, sasa kama hii ndio lugha yetu twende hivyo. Lakini nilazima na sisi tujitetee kuunga mkono sio dhambi kama kutounga mkono sio dhambi. Shida inakuja mtu kutaka kusemea kila mtu.
 
Nyinyi Chadema sio ndio lugha myaoelewa. Mtu akiwa mstaarabu nyinyi ndio mnaona idhaifu, Rais Samia mpole mnamuona dhaifi mnahitaji watu kama JPM ndio mnakuwa na heshima.
Kuuza bandari ni ustaarabi kumbe?
 
Tusubiri uchaguzi ujao! wakati nchi imeshauzwa? Kuna mambo nyeti hayataki kesho. mtu kavunja katiba anawajibika on spot, katiba itaongoza nini kifuate.
 
Nyinyi mshukuru sana Mungu alimchukua JPM mapema angewarudisha kwenye mapango mlikotoka. Mama katukosea sana na huruma zake. Ingepita operation moja kabambe ndio mngeshika adabu mbwa nyie.

Inaonyesha kazi ulioipita inatokana na kamlete. Huna uzalendo kwa nchi ila kwa waliokuajiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…