Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Ingekua kuhama ni rahisi hivyo ningehama..sema kitu kupenda jamani kusikie tuu kwa jirani..😆Nilishakwambia sister hamia yanga kwa warembo wenzio upate pumziko la moyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ingekua kuhama ni rahisi hivyo ningehama..sema kitu kupenda jamani kusikie tuu kwa jirani..😆Nilishakwambia sister hamia yanga kwa warembo wenzio upate pumziko la moyo
Punguza jazba mtani we ni mtu muhimu sana hapa JF ohoo! [emoji28]Karibia nitaacha kushabikia mpira ...
Usiniulize kwanini
Najua sababuKaribia nitaacha kushabikia mpira ...
Usiniulize kwanini
Na mm sitaki kujua sbb yako hahahaNajua sababu
Shida kuacha nako ngumu maaana ushabiki upo damuni.. 😆 😆 😆Punguza jazba mtani we ni mtu muhimu sana hapa JF ohoo! [emoji28]
Anza kuhama mzee mwenzangu, stress zitakuua huko🤣🤣🤣
Hakuna kuacha, tulia uteseke vizuri🤣🤣🤣🤣Karibia nitaacha kushabikia mpira ...
Usiniulize kwanini
Sawa kwa sasa siteseki ila wakiondoka naowapenda nitateseka sana..Hakuna kuacha, tulia uteseke vizuri🤣🤣🤣🤣
Aaah!! Wasimnyanyapae babu yangu.Onyango amefanya vyema kuomba kuondoka kwani kinachofuata ilikuwa ni kutemwa tu.
miaka miwili hii imekuwa pigo sana kwa wana wekundu wa msimbazi kwa kukaa mezani bila kikombe chochote walau cha kunywea maji au ulanziSasa wana lunyasi wenzangu mbona tunakimbiwa
Kama nani?Sawa kwa sasa siteseki ila wakiondoka naowapenda nitateseka sana..
Basi aletwe Yanga au?Aaah!! Wasimnyanyapae babu yangu.
Hapana, abakie hapo hapo kwa majirani🤣Basi aletwe Yanga au?
...
..umenisusa ewe kiumbe
Sifi mzee mwenzangu ila msimu huu cha moto nimeiona, hakuna rangi nmeacha kuona, mpaka HUDHURUNGI nimeiona. 😂🤣Anza kuhama mzee mwenzangu, stress zitakuua huko🤣🤣🤣
Mwanzoni mwa msimu aliomba kuondoka pia ila zikatumika busara tu akabakiOnyango amefanya vyema kuomba kuondoka kwani kinachofuata ilikuwa ni kutemwa tu.
Wengi tuu...hizi ni siri za kambiKama nani?
Sasa kwan sisi tunataka nin zaid ya kufunga1. Phili ni mchezaji wa KAWAIDA sana.
ZORAN MARK NA ROBERTINHO MAKOCHA WOTE HAWAKUMUAMINI.
2. ALAFU Bahati Mbaya zaidi phili ni no 10.
Hiyo namba Ina watu kama
Sackho.
Chama.
Saido.
3. JARIBU kumuangalia Phili vizuri akiwa na mpira anaanguka sana, anapoteza mno, anapata majeraha mengi.
Mechi ya Simba na yanga 1.1 ndio nilipomchunguza phili vizuri. Alikuwa mbovu mno
UBORA WA PHILI.
Phili ni mzuri kwenye kufunga tu
Stress za kukosa makombe?Karibia nitaacha kushabikia mpira ...
Usiniulize kwanini