Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

Aiseeeee
 
Wewe kama una ushahidi mwaga kila kitu hadharani. Huyo Salaah sidhani kama yuko hapa JF. Kama ni ukwepaji kodi hao wanafanya hadharani wala hawajifichi kwahiyo kwa kashfa hiyo tayari umefeli. Hakikisha kwenye masaa 72 unaandaa kashfa tofauti na hii na ya ukwepaji kodi. Hao kina Salaah wana kashfa nyingi chafu kiasi kwamba sijajua utakuja na jipya lipi... tusubiri
 
Teh teh

Ova
 
Teh teh

Ova
Mzee wa Kino hao Silent Ocean wameshashindikana. Hakuna mzigo ambao wanashindwa kupitisha bandarini. Agiza hata kemikali wao wanakuletea... kemikali huwa zina mambo mengi sana ili uweze kupitisha bandarini au boda lakini Silent kwao ni sawa kunywa juice ya baridi saa 8 mchana pale mtaa wa Congo kkoo.
 
Naelewa sana mamasamia2025,
Hawa tag yao kubwa sana

Ova
 
Mimi nachowapendea silent ocean ,huduma zao hazina longo longo , moja ya kampuni zenye huduma Bora kabisa , customer care iliyotukuka , wanatoa taarifa Kwa wakati , kama wanakwepa Kodi ili waendelee kutoa huduma Bora kwangu ni Sawa tuu, kuliko kutoa Kodi alafu hela zinachotwa na wahuni wachache .... Mnabaki kuwa na huduma mbovu....istoshe hii dunia imejaa dhuluma na uonevu kila Mahali na ushirikina uliotukuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…