Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

Wewe km nani? Wewe ni MUNGU? Una uhakika na unayoyasema? Watu wakimuamulia ataishika adabu yeye na ndugu zake na ukoo wake mzima, ana nini cha kuogogwa? km ni majini watatumwa wenye nguvu kuliko aliokua nao
Magufuli alijaribu akashindwa mwisho wa siku akatangulia akawaacha. Shida hamujui Silent ocean iko nyuma ya nani. Huo mnyororo umeanzia mbali sana. TRA walijaribu kidogo tu wale maafisa wote wakahamishwa
 
NImeitoa Mahali hebu tupe mrejesho wa hili kwanza mkuu. Maana imebid nimtafute Sallaah kwanza.
Subiri masaa 72 yapite kwanza jamaa amwage mboga hapa tuone hayo madudu yaliyojificha uko, mboni unaogopa kuchafuka kwake acha achafuke kwanza wengine tupate tahadhari tusije tukaingia mkenge km alioingia yeye
 
Subiri masaa 72 yapite kwanza jamaa amwage mboga hapa tuone hayo madudu yaliyojificha uko, mboni unaogopa kuchafuka kwake acha achafuke kwanza wengine tupate tahadhari tusije tukaingia mkenge km alioingia yeye
Bro mswahili ana habar gani mpya. Mi wala simzuii kumwaga mboga kwake Chief. Ila nimewasilisha hiyo sms kutoka kwa jukwaa flan kkoo. Ila ninachojua hata mtu mbaya vipi hawez kukufanyia ubaya kama hakuna kitu kati yenu kimetokea. Ngoja amwage tusubir na upande wa pili utajibuje.
 
Bila Silent Ocean biashara ni ngumu kinyama... ukiagiza mzigo sehemu ambayo Silent hawana ofisi ndo utajua hujui.
 
Asante sana chawa wa Salaah kuja kumtetea boss wako. Muhimu ni kuwa baada ya masaa 72 tutakutana hapa.

Sina mengi ya kueleza kwa sasa maana masaa bado yanazidi kupungua.

Kumbe anakusanyiwa pesa hadi mtu mmoja anamkusanyia bilioni 6? Kwa utaratibu upi wa sheria za fedha? Anazikusanya kutoka wapi? Masaa yanazidi kupungua. Wewe kachukue posho yako ya leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…