Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 24,514
- 65,521
Maza anafeli sana hata sifatilii hotuba zake mimi wala maana ni aibuNi mfumo aisee kama huwa unapita kwenye jukwaa la Jamii intelligence kuna uzi unaitwa Dark Days 17/03 kuna mambo ya kutisha yameandikwa mle