Mi napenda kama hvyo mkishindwa wamalizeni kibingwa tu Kwani shi ngapi!!!!Asante sana Mrs. Salaah, ni kweli mnaamini hivyo, hivi yule kaka yao jambazi aliyekuwa anaonea watu yuko wapi hivi sasa baada ya kumwagiwa tindikali? si anaishi kama mjusi hata msikitini hawezi kwenda wala kuonekana kwenye halaiki? mifumo ikishindwa kuchukua hatua hata wanadamu wanaweza chukua hatua.
Umequote comment yangu na kuandika kitu ambacho hakihusiani kabisa na nilichokisema Mimi,Mwache adai haki yake,kaona ndio njia itakayomsaidia,hayo ya uzalendo alikuwa nayo nyerere tu🙏 wengine ni unafiq tu
Hiyo picha ya 3 kwenye nchi zenye kujielewa lazima angetolea maelezo katoa wapi
Ndiye yeye bila shaka, asipolipwa atamlipua mtu.Na huyo kijana siyo wewe?
Haiingii akilini.
Ndiyo utajiri huoMimi sikubishii Hawa matajiri Wana udhalimu Sana
AiseMi napenda kama hvyo mkishindwa wamalizeni kibingwa tu Kwani shi ngapi!!!!
Kama umedhulumiwa mali Yako na ukiangalia huwezi mfanya lolote mdhulumati sababu mazingira yanampendelea.
Tafuta na wewe njia haramu peleka kilio kwake
Ila kama imekuuma sana moyo na unaona kabisa huwezi vumilia
Kuna watu ni wapole sana ila Siku ukimtibua ndio utajua kuwa hata shetani aliwahi kuwa malaika.
Mimi ikija tokea siku wakanifanyia ubaya ubayani yaani ikaa affect maisha yangu completely aisee simwachi mtu nitalipiza maradufu chamoto atakiona sitomuua ila lakini ajutie maisha yake yote yaliyobakia duniani.
Nitamwinda kama digidigi anavyomwinda swala hadi aingie kwenye 18 zangu.
Kuna watu wanaona sifa kuumiza wenzio Kila siku kisa wanyonge anatakiwa aibuke mnyonge mmoja atelekeze mkakati wake barabara! Ili madhalimu nao waipate waipate fresh.
Chill unamwambia eti awe mzalendo,kwakua akilipwa hataleta mrejesho😅uzalendo baki nao wewe mnafiq😅😅Umequote comment yangu na kuandika kitu ambacho hakihusiani kabisa na nilichokisema Mimi,
Haya ni maajabu! au ndio unajifundisha kuquote watu?
Unaona sasa ulivyokua na uwezo mdogo wa uelewa? au umeamua tu kucomment ili na wewe usisahaulike kua umo humu JF? ukiona kitu kipo nje ya uwezo wako wa uelewa ni bora ukafunga domo ili usijulikane kua huna ujualo.Chill unamwambia eti awe mzalendo,kwakua akilipwa hataleta mrejesho😅uzalendo baki nao wewe mnafiq😅😅
Mtu kama huyu ndio umtishie nyau na ana mikwasa mitatu kiunoni😀😀😀
Umetisha sana mzee kuna mtu humu anatukanwa anaitwa chawa kisa yupo upande wa Salaah.Utapambana nao peke yako usipokuwa makini.....wanaofaidika na huduma zao ni wengi kuliko mnaojipanga kumuharibia,shida ambayo jamaa Salaah na his co.ni kutaka kuwaamini wabongo ktk mambo ya pesa na wakishaharibu wanataka wasamehewe,imefikia dada atawasamehe wangapi kwenye upotevu wa pesa na akiwadai ndo hapa wanakuja kutaka huruma kwa sie wananchi woote utafikiri walitushirikisha ktk huo upotevu
Halafu itambulike kuwa sheria ya ukwepaji wa kodi haimfungi wala kumuhukumu pekee yake,itabidi uwataje na watendaji wa serikali anaoshirikiana na
Ttzo letu tunapenda upigaji na kupotezeana pesa na tukidaiwa tunaona jamaa anatuonea au kutubagua kutokana na ngozi na uwezo alionao......tujifunze uaminifu
Punguza shobo kwenye uzi, anzisha wako wa kumteteaChawa wa Tajiri naye ni tajiri
Unaona sasa ulivyokua na uwezo mdogo wa uelewa? au umeamua tu kucomment ili na wewe usisahaulike kua umo humu JF? ukiona kitu kipo nje ya uwezo wako wa uelewa ni bora ukafunga domo ili usijulikane kua huna ujualo.
Haaha inategemea kamandaMtu kama huyu ndio umtishie nyau na ana mikwasa mitatu kiunoni[emoji3][emoji3][emoji3]
Nimesoma tu paragraph ya kwanza moja ,kwa moja nikajua ni yule tapeli, dhulumati, mhuni, na mkwepa kodi mkuu!Najua tambo zako za sasa kuwa katika Serikali hii ya sasa mnaweza fanya lolote na hakuna wa kuwafanya kitu.
Hawezi kuacha shobo huyo toka Jana kauganda uzi😅chawa promax anatetea ulaji hahahah,punga mwingine anamwabia jamaa eti awe mzalendo, mzalendo my black a.ssPunguza shobo kwenye uzi, anzisha wako wa kumtetea
Haya nenda kasafishe banda la Kuku sasa,kabla mwenyewe hajarudi coz upupu uliokua unakuwasha umesha umwagia hapa tayari.Chill bloo huo uwezo mkubwa ulionao we kilaza umekufikisha wapi?keep quiet keyboard warrior 😅😅