Utapambana nao peke yako usipokuwa makini.....wanaofaidika na huduma zao ni wengi kuliko mnaojipanga kumuharibia,shida ambayo jamaa Salaah na his co.ni kutaka kuwaamini wabongo ktk mambo ya pesa na wakishaharibu wanataka wasamehewe,imefikia dada atawasamehe wangapi kwenye upotevu wa pesa na akiwadai ndo hapa wanakuja kutaka huruma kwa sie wananchi woote utafikiri walitushirikisha ktk huo upotevu
Halafu itambulike kuwa sheria ya ukwepaji wa kodi haimfungi wala kumuhukumu pekee yake,itabidi uwataje na watendaji wa serikali anaoshirikiana na
Ttzo letu tunapenda upigaji na kupotezeana pesa na tukidaiwa tunaona jamaa anatuonea au kutubagua kutokana na ngozi na uwezo alionao......tujifunze uaminifu