Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

Bora usilipwe yuu maana wewe sio mzalendo na mpiga diki kama hao silent ocean. Yaani mmezungukana huko ndio unakuja kulia lia humu?

Kwa hiyo mkilipwa ndani ya hayo masaa 72 ndio utaacha waendelee kufanya uhuni wao, ila wasipokulipa ndio ilutawaanika?

Sasa ni hivi bora usilipwe tuu maana na wewe mpiga dili kana hao kuku wenzio. Nimekerekwa sana.
 
naomba hili nilijibu baada ya masaa 72, uzuri mimi sio muhusika katika hizo dili.
 
Bora usilipwe yuu maana wewe sio mzalendo na mpiga diki kama hao silent ocean. Yaani mmezungukana huko ndio unakuja kulia lia humu?

Kwa hiyo mkilipwa ndani ya hayo masaa 72 ndio utaacha waendelee kufanya uhuni wao, ila wasipokulipa ndio ilutawaanika?

Sasa ni hivi bora usilipwe tuu maana na wewe mpiga dili kana hao kuku wenzio. Nimekerekwa sana.
Mi nadhani tusiwe na haraka sana, masaa 72 ni siku 3 tu, mbona sio nyingi? Tuwe na subira
 
Kodi zenyewe hatujui zinavyofanya kazi , mikopo ndo inafanya kazi ,Acha tule nao Tu hawa jamaa Kwanza wanatuweka mjini watu kibao , ukikomalia Kodi basi tuone inafanya nn kama Mzee Magu alivyofanya
sasa hivi hata watu wa TRA ukiwaambia kuna mkwepa kodi wanakuambia achana na hayo mambo, kama kuna mtu kapewa makadirio makubwa tuambie tumsaidie apunguziwe, ndio maana kila siku mikopo maana zaidi ya tozo na kodi kwa wafanyakazi hawa wafanyabiashara wakubwa wengi hawalipi kodi.
 
Hakuna nayeweza kuinunua mahakama mkuu sema itakuwa wote ni wapiga dili walizidiana ama wamedhulumiana. Mahakamani ukiwa na ushahdi mzuri unaoeleweka hakuna kinachoshindikana

Tulia basi mbona unakuwa kama boya fulani usiyejielewa? Humu JF madudu kibao yalikuwa yanafichuliwa mpaka Maxence Melo alishitakiwa na akawa analazamishwa atoe email za watumiaji wa JF. Wewe tulia acha kupiga kelele na huyu mleta uzi ameshasema huyo jamaa anatamba hii serikali wameikamata sasa huko Mahakami itapatikana haki gani? au haujui Serikali ina mihimili mitatu ambayo ni BUNGE, MAHAKAMA?
 
anatafuta riziki huyo, anajitoa ufahamu tu.
 
Tume ya haki jinai imeundwa kwa ajili ya kukusanya maoni na kutoa mapendekezo ya kuboresha taasisi za serikali zinazohusika na haki jinai kama vile Polisi, Mahakama, PCCB n.k kwa lengo la kuzidhibiti ili zitende haki. Haina mamlaka yoyote ya kisheria ya kuwashughulia hao Silent Ocean. Una nafasi ya kunikosoa.
 
Tulia basi mbona unakuwa kama boya fulani usiyejielewa? Humu JF madudu kibao yalikuwa yanafichuliwa mpaka Maxence Melo alishitakiwa na akawa analazamishwa atoe email za watumiaji wa JF. Wewe tulia acha kupiga kelele na huyu mleta uzi ameshasema huyo jamaa anatamba hii serikali wameikamata sasa huko Mahakami itapatikana haki gani? au haujui Serikali ina mihimili mitatu ambayo ni BUNGE, MAHAKAMA?
Kwa hiyo haki inapatikana wapi, kama kote huko anajua hawezi? kwa hiyo JF ndio inaweza kutoa haki? vitu vingine uwe unafikiria sio kujiaonglesha tu Mkuu. hao jamaa hatta kipindi cha magu aliwafuatilia sana ila jamaa walishindikana waliendelea kupiga tu.
 
Back
Top Bottom