nokwenumuya
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 820
- 2,896
- Thread starter
- #81
uko sahihi kabisa ndugu, ukimuona Gharib mbele za watu unaona muislamu safi na mtu mwenye hofu ya Mungu. sasa ukitokea kupata watu waliokaa nao karibu ndio utajua hao jamaa ni mashetani, sasa angalia bilionea unamdhurumu Mwalimu Dola 300, na unajitamba mbele za watu wewe ni bilionea.Jamaa wana roho mbaya sana hao, Mimi nina habari zao kutoka kwa jamaa wawili ambao walishawahi kufanya kazi kwa huyu Mfadhili wa Yanga, Yaani huwa inasikitisha sana mmoja alikuwa ni Mwalimu alidhurumiwa hela ambayo ilikuwa ni dola 300 maana huyo jamaa alikuwa ni anawafundisha watoto wa Tajiri Tuition, Jamaa akatafuta Mganga awaroge ili alipwe hela yake yule Mganga akamwambia ukweli hawa Wana Majini sana hii kazi ni ngumu we Muombe Mungu ili ulipwe hela yako. Na Mwingine alikuwa ni Fundi Umeme kwenye Kiwanda cha Magodoro kule Mikocheni huyo jamaa alikatwa mkono kimiujiza huyo ndio aliniambia hiyo story ya Kaka Mtu aliyemwagiwa Tindikali nayo ni hivyo hivyo dhuluma. 😢 😢 😢 😢
ukatili na roho mbaya kwao ni suala la kifamilia, ndio maana ukifuatilia story za huyo kaka mkubwa aliyomwagiwa tindikali alianza kuwafanyia watu ukatili toka miaka ya 2005, na uzuri humu JF story zake za huo ukatili zipo humu.