Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

aisee kufanya kazi na washirikiana nako ni kujitoa sadaka, hujui lini ataponyeza button ya kutaka damu yako.
Huwa yanazungumzwa mengi sana tena yale ya Kishirikina na Uchawi kuhusu hawa jamaa, Kuna Dada mmoja alikuwa anaishi pale Msimbazi Home Shopping Centre kwenye lile ghorofa lao ambalo kwa sasa limechakaa. Aisee hii dunia ina mambo mengi ya hovyo sana 😂 😂 😂 😂
 
Katika familia ya Waarabu na Wahindi matajiri wenye kiburi na kujisikia kwamba wao ndio wao ni hawa familia ya GSM.

Mbona familia za akina Bakhressa, Dewji, Subhash Patel, Ally Edha Awadh hatuwasikii wakiwa na hizo mambo na wana mtonyo kuzidi wao

Enzi za kampuni yao ya Home Shopping Centre waliyodanganya imefilisika ndio maana ndugu yao alimwagiwa tindikali kwa sababu ya tabia yao ya udhulumati
 
Mods tafadhari msitoe huu uzi, mwendelezo wake utakuwa na manufaa ya kufichua black market ya pesa inavyofanyika kariakoo na hawa jamaa. na ndio maana hatukusanyi kodi japo kuna Wilaya ya kikodi ya Kariakoo. Nyuma wako hawa jamaa.
Nilishaleta Uzi juu ya hi kampuni ila niliashia kutukwnwa mno kuwa nina wivu na kuitwa mchawi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Katika familia ya Waarabu matajiri wenye kiburi na kujisikia kwamba wao ndio wao ni hawa familia ya GSM.

Mbona familia za akina Bakhressa, Dewji, Subhash Patel hatuwasikii wakiwa na hizo mambo na wana mtonyo kuzidi wao

Enzi za Home Shopping Centre ndio maana ndugu yao alimwagiwa tindikali
wanalinga na kusumbua sababu wanaye Godfather anawalinda. umeonyesha mfano wa matajiri wa kiarabu ambao hutosikia mambo mengi mabaya wanaotendea watu, hawa ni wakatili tu, naamini kuna siku watarejeshwa kwao Yemen.
 
Nilishaleta Uzi juu ya hi kampuni ila niliashia kutukwnwa mno kuwa nina wivu na kuitwa mchawi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
pole sana kaka. unajua sisi watu weusi tunatawaliwa kwa ujinga wetu, badala ya watu wajadili hoja wakaishia kukutukana, unakuta hao ni wale njaa kali wanaenda kujipendekeza wapate pesa za kula.
 
JPM aliwafanya Hawa Matajiri janjajanja, Kuishi kama Mashetani.

Ila sahizi Mashetani ndio waongoza Nchi, ni haki Yao kusema "Serikali hii haiwafanyi kitu'.

Wapo sahihi Mkuu, hakuna wa kuwafanyia kitu sasa
Mkuu haya sasa ni malalamiko ,jpm angekua amesafiri kwa mda ungekuwa na haki ya unachokisema ,sasa hayupo kabsa na hatakaa aje tena , kuendelea kumtaja taja marehemu ni kupoteza mda tu.
 
ni sahihi, huyo kijana alienda kushitaki Central Polisi, maafisa wa polisi wakamuambia hata sisi tuna familia na tumepigiwa simu nyingi sana kuhusu hii kesi hivyo hatuwezi fungua mashitaka na kuharibu kazi zetu. wakamsihi tu aende kutafuta namna ya kumalizana nae wao hawana uwezo huo.
Kituo gani na nipolice wa kituo gani wanamuambia hvyo Ni vyema uweke Kila kitu hadharani tumechoka na utapeli ,,these is anonymous platform usiogope lipuaas tu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom