Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Karibu sana Mwamba GENTAMYCINE najua una mengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Yeye na Kaka yake Wanaingia Ikulu zako zote mbili ya Wazaramo na ya Wagogo kama Chooni ( Watakavyo ) sidhani kama kwa huu Mkwara Mbuzi wako utafanikiwa lolote.Kwa leo sitaandika mengi.
Najua tambo zako za sasa kuwa katika Serikali hii ya sasa mnaweza fanya lolote na hakuna wa kuwafanya kitu.
Najua ulivyojigeuza Serikali na kutaifisha mali na pesa za kijana huyo na ukaahidi utapiga nae hesabu na kumrejeshea kinachozidi na hujafanya hivyo toka June 14, 2022.
Hata kama mnasema Serikali ya sasa inawabeba basi iheshimuni japo kidogo kwa kutoifedhehesha.
Kumbuka kama ilitokea Serikali ikawafanya kuwa na adabu basi siku hazigandi.
Kumbuka kaka yenu mkubwa alikuwa akifanyia wanadamu wenzie ukatili lakini alimwagiwa tindikali na haohao mnaowaona wanyonge, na sasa anaishi kama panya maana haonekani in Public.
Najua mambo yote kampuni yenu inayofanya hapo kariakoo, hivyo masaa 72 yakipita bila kutafuta suluhu na kumpa huyo kijana Haki yake basi nitaaanika kila kitu hapa hadharani.
Naamini nikishaanika itakuwa aibu kwako na kampuni yako, hata kama Serikali ya sasa haitawachukulia hatua basi dunia itakuwa imejua mnayofanya gizani.
Vilevile mtapoteza heshima mliyonayo kama Silent Ocean kwa watu wasiowajua.
Na taarifa zenu tutamkabidhi Mwenyekiti wa Tume ya Haki Jinai, hata akipelekewa na asichukue hatua kwa kampuni yenu zitakuwa zimeingia kwenye record za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mengi nitaandika baada ya hayo masaa 72 kama utaendelea kuufanya moyo wako mgumu. Naamini juhudi zote za kidiplomasia zimekwishafanyika na umepuuza eti kwa kutamba hivi sasa serikali ni ya kwenu.
Tunakubali na kujua hayo yote brother, ila nikueleze huo unafiki wenu wa kujidai watu wema mbele za wanadamu huku mkiwatendea Watanzania hiyana basi una mwisho wake.
Du aisee. Hawa jamaa ni makatili na kumbe watu wengi mnajua madudu yao?Hao jamaa ni watu wa ovyo
Pale Jangwani Beach Kunduchi, opposite na Ramada Resort kulikuwa na ndugu yao jirani na home kwa wazee
Kuna kijana mbongo mwenzetu walimteka wakakodi mabaunsa wakamfirá sana kisa tu katembea na binti yao wa Kiarabu
Lile tukio lilifanya niwashushe thamani sana hao jamaa
Kafara?Jamaa na Yeye baada ya kuzunguka kwa Wataalamu akaambiwa ile ilikuwa ni Kafara ya Damu kwenye Uendeshaji wa Kiwanda
Najua hilo. Hata sitafanikiwa jambo ambalo natamani watu wajue ni michezo wanayoifanya pale kariakoo.Kama Yeye na Kaka yake Wanaingia Ikulu zako zote mbili ya Wazaramo na ya Wagogo kama Chooni ( Watakavyo ) sidhani kama kwa huu Mkwara Mbuzi wako utafanikiwa lolote.
Mkuu mbona kama umepanic tangu mwanzo wa hii topic? Hatimae uzalendo umekushinda mpaka umejilipua.Tulia sisi wengine tunahesabu hayo masaa 72 tufunuliwe yale tusiyoyajua.Nikuambie tu ukwlei unaouma HAKUNA KITU CHOCHOTE UTAKACHOWEZA KUMFANYA SALAA WALA NDUGU YAKE GHARIBU WALA YEYOTE ANAYEHUSIANA NAO PAMOJA NA SILENT OCEAN. pole sana Mkuu
Wewe umejuaje kama Salaa haingii huku kusoma?mm nimemshauri hivyo yeye anataka apamabnae nae hapa JF akifikiri yeye ana muda wa kuingia huku na kusoma
☝hii coment nikiitafuta mkuu maan naona watu wanaanza kushambulia tu kwa chuki zao binafs hata hawajui A to Z na mleta mada nae kaandk kwa chuki tu hata mkasa hajauweka watu wachambue wajue namna ya kumshauri.
kila kitu kitakuwa wazi mkuu, usijali, itaenda kugusa mifumo yote ya ufanyaji kazi kariakoo, ndio maana unakuta mtu analipa kodi TRA kwa mwaka kiasi cha milioni tatu lakini ananunua jengo la Bilioni 8 kariakoo. na yote haya ni hii mifumo inayoendeshwa na hawa jamaa inawasadia na wafanyabiashara wengi wa kariakoo kukwepa kodi.
Wewe uko Narung'ombe au swahili?Acha wivu mzee kariakoo wamekukosea nini??
SIL3NT OCEAN msimlipe huyo kijana bana. Tunataka kuwafahamu kwa kina nyie na deals zenu.Kwa leo sitaandika mengi.
Najua tambo zako za sasa kuwa katika Serikali hii ya sasa mnaweza fanya lolote na hakuna wa kuwafanya kitu.
Najua ulivyojigeuza Serikali na kutaifisha mali na pesa za kijana huyo na ukaahidi utapiga nae hesabu na kumrejeshea kinachozidi na hujafanya hivyo toka June 14, 2022.
Hata kama mnasema Serikali ya sasa inawabeba basi iheshimuni japo kidogo kwa kutoifedhehesha.
Kumbuka kama ilitokea Serikali ikawafanya kuwa na adabu basi siku hazigandi.
Kumbuka kaka yenu mkubwa alikuwa akifanyia wanadamu wenzie ukatili lakini alimwagiwa tindikali na haohao mnaowaona wanyonge, na sasa anaishi kama panya maana haonekani in Public.
Najua mambo yote kampuni yenu inayofanya hapo kariakoo, hivyo masaa 72 yakipita bila kutafuta suluhu na kumpa huyo kijana Haki yake basi nitaaanika kila kitu hapa hadharani.
Naamini nikishaanika itakuwa aibu kwako na kampuni yako, hata kama Serikali ya sasa haitawachukulia hatua basi dunia itakuwa imejua mnayofanya gizani.
Vilevile mtapoteza heshima mliyonayo kama Silent Ocean kwa watu wasiowajua.
Na taarifa zenu tutamkabidhi Mwenyekiti wa Tume ya Haki Jinai, hata akipelekewa na asichukue hatua kwa kampuni yenu zitakuwa zimeingia kwenye record za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mengi nitaandika baada ya hayo masaa 72 kama utaendelea kuufanya moyo wako mgumu. Naamini juhudi zote za kidiplomasia zimekwishafanyika na umepuuza eti kwa kutamba hivi sasa serikali ni ya kwenu.
Tunakubali na kujua hayo yote brother, ila nikueleze huo unafiki wenu wa kujidai watu wema mbele za wanadamu huku mkiwatendea Watanzania hiyana basi una mwisho wake.
🤣🤣🤣🤣SIL3NT OCEAN msimlipe huyo kijana bana. Tunataka kuwafahamu kwa kina nyie na deals zenu.