TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Yule mzee alikuwa fundi kweli kweli yaani alijua hii nchi kuna panya wanakula huko chini ila huku juu wananchi tunaona kuna usalama kumbe nothing.JPM aliwafanya Hawa Matajiri janjajanja, Kuishi kama Mashetani.
Ila sahizi Mashetani ndio waongoza Nchi, ni haki Yao kusema "Serikali hii haiwafanyi kitu'.
Wapo sahihi Mkuu, hakuna wa kuwafanyia kitu sasa