Manyanza
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 16,464
- 35,629
Huwa yanazungumzwa mengi sana tena yale ya Kishirikina na Uchawi kuhusu hawa jamaa, Kuna Dada mmoja alikuwa anaishi pale Msimbazi Home Shopping Centre kwenye lile ghorofa lao ambalo kwa sasa limechakaa. Aisee hii dunia ina mambo mengi ya hovyo sana 😂 😂 😂 😂aisee kufanya kazi na washirikiana nako ni kujitoa sadaka, hujui lini ataponyeza button ya kutaka damu yako.