Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

Hii familia ikiongozwa na GSM na home shopping kama kaka wakubwa watu wanateseka na dhulma zao aisee.

Nikutie moyo haki inatafutwa Kwa njia yoyote muhimu uwe unajua uko sahihi tu.

Nasubiri Yako niisikie lakini najua Kuna familia Moja Iko kariakoo ya waarabu wenzao wame watapeli eneo lao la kigamboni Kwa msomali (vijibweni,tungi) ekari nne lenye sheli na magodown lenye thamani zaidi ya bilioni 7 kupitia polisi na mahakama

Hiyo familia Ina subra inafata channels lakini niliyoyasikia karibu wataweka kwenye vyombo vya habari sehemu pekee iliyobaki kutegemea msaada Kwa waziri mkuu na mama rais maana mahakama yote imetiwa mfukoni na wizara ya mambo ya ndani.
 
Mzee utakuja kufa kwa chuki
 
Niwakumbushe principle ya Kimungu, ukiamua kupambana na adui yako kwa njia zisizo za ki Mungu yeye hujitoa means zenu ziamue! Ila wote mtahukumiwa kwahilo labda toba iwaokoe.

Ila ukitumia njia ya Ki Mungu (kama injili inavyoelekeza juu ya adui) hukumu/kisasi kinakuwa juu ya Bwana! Hapo hata ufuge majini yote ya ulimwengu mzima utapigwa tu maana ni kisasi cha Bwana.

Usiombe umkosee mtu alafu akusamehe na kumuachia Mungu na awe mtu wa ibada! Utakutana na moto ukiwa hai.

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 

Moto uwakao sindio mkuuu :Mungu muweza wa yote
 

Tatizo letu wabongo tunapenda Excuse, pili tunaona neno Msamaha ni neno rahisi Sana.

Tumezoea kuajiriwa na kuajiri Ndugu zetu alafu tukitia hasara tunaishia kusema Nisamehe au bahati Mbaya.
Sasa wengine hawanaga hayo mambo ya Msamaha au bahati mbaya
 

Ndivyo tulivyomkuu.

Ni ngumu Sana Kupata muafrika mwaminifu
 

Sasa hapo tatizo ni la huyo Tajiri au viongozi wenu?
Embu tutumie mantiki Kidogo.

Waafrika tubadilike
 
🤔🤔🤔🤔Uchawi upo tangu kuumbwa kwa ulimwengu...refer vitabu vitakatifu

Sijakataa, nimesema hauna nguvu.
Kama ungekuwa na nguvu ninakuhakikishia pasingekuwa na dhulma au uonevu,

Ninawajua na wewe unawajua Watu wangapi wanadhulumiwa na kuonewa, wengine wanatoka koo zenye Uchawi lakini hakuna wanafanya Mbele ya Watawala au hao matajiri.

Nguvu ya Mwanadamu ni zaidi ya Uchawi.
Ndio maana Watu wametengeneza silaha kama bastola.
Kwenda kwa Sangoma utapoteza muda tuu.

Nguvu isiyoongopa ni kufanya mambo Physically, mwagia tindikali, piga RISASI, wekea sumu, hivyo yaani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…