Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Nakwambiaje hujapata mchawi wa Ukweli.Sijakataa, nimesema hauna nguvu.
Kama ungekuwa na nguvu ninakuhakikishia pasingekuwa na dhulma au uonevu,
Ninawajua na wewe unawajua Watu wangapi wanadhulumiwa na kuonewa, wengine wanatoka koo zenye Uchawi lakini hakuna wanafanya Mbele ya Watawala au hao matajiri.
Nguvu ya Mwanadamu ni zaidi ya Uchawi.
Ndio maana Watu wametengeneza silaha kama bastola.
Kwenda kwa Sangoma utapoteza muda tuu.
Nguvu isiyoongopa ni kufanya mambo Physically, mwagia tindikali, piga RISASI, wekea sumu, hivyo yaani
Mwaka jana TBC ilirushaa Sana sakata la yule mama mstaafu kule Musoma,yule mama alinunua kiwanja chenye mgogoro kilichompata lilikuwa gumzo...Yule mama alikuwa akibandika mboga akifunua imeliwa,anabandika ubwabwa akifunua Kuna poohpoooh,Moto unaanza tu kuwaka kwenye magodoro Mara kwenye makochi,Mara watoto wanakutana na Simba na nyoka,yaani ilikuwa kizaazaa,yule mama alikuwa msabato walikuja kufanya maombi wasabato wenzie ikagonga mwamba,wakaletwa wa Pentecost wakatoka kapa!ikabidi mama na familia wahame
Hivyo Kama unaamini Mungu jua Uchawi upo!hao unaosema mbona wametoka familia za kichawi na wametapeliwa huwezi jua roho zao labda hawajaamua kulipa visasi..
Dunia iina Mambo kijana,ungesema kuwaroga matajiri Kama hao Ni changamoto kwa vile wao ndio magwiji wa huo uchawi wenyewe,wanakula dawa,wanakunywa dawa,wanaoga dawa,wanapaka dawa wanalalia dawa!