Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

Nakwambiaje hujapata mchawi wa Ukweli.

Mwaka jana TBC ilirushaa Sana sakata la yule mama mstaafu kule Musoma,yule mama alinunua kiwanja chenye mgogoro kilichompata lilikuwa gumzo...Yule mama alikuwa akibandika mboga akifunua imeliwa,anabandika ubwabwa akifunua Kuna poohpoooh,Moto unaanza tu kuwaka kwenye magodoro Mara kwenye makochi,Mara watoto wanakutana na Simba na nyoka,yaani ilikuwa kizaazaa,yule mama alikuwa msabato walikuja kufanya maombi wasabato wenzie ikagonga mwamba,wakaletwa wa Pentecost wakatoka kapa!ikabidi mama na familia wahame
Hivyo Kama unaamini Mungu jua Uchawi upo!hao unaosema mbona wametoka familia za kichawi na wametapeliwa huwezi jua roho zao labda hawajaamua kulipa visasi..

Dunia iina Mambo kijana,ungesema kuwaroga matajiri Kama hao Ni changamoto kwa vile wao ndio magwiji wa huo uchawi wenyewe,wanakula dawa,wanakunywa dawa,wanaoga dawa,wanapaka dawa wanalalia dawa!
 
Sasa hapa bongo unakuta ukoo una watu 1000, huwezi iunuanwote hao kwa kiwango hicho

Haujanielewa chief....Na maanisha Kwenye familia moja ya baba na mama na watoto wao utakuta mtoto mmoja tajiri sana na watoto wengine masikini wa kutupwa baba mmoja mama mmoja.

Hii ni tofauti sana kwa hawa waarabu yaani wanainuana sana mmoja kwenye familia akitoka nahakikisha na wadogo zake nao wanachomoka yaani kuanzia first born hadi last born.
 
Sasa nazidi kuamini ni ngumu sana kwa tajiri kuuona ufalme wa Mungu. Kwa akili za wazungu naona kabisa iko miaka mbeleni huko watakuja kusema huu mfumo wa Capitalism ni kinyume na haki za binaadamu kwahio tuachane nao 😀😀😀
 
Ila hawa jamaa mbona wanaonekana waungwana sana? Unaweza kusoma comment ukabakia mdomo wazi. Mfano Gharib, anaonekana mpole na asiye na makuu.



Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Ndugu yangu matajiri wengi huwa ni ma mafia. Ukiachana na wale waliorithi utajiri kama style ya MO vile walau ndio unaweza kuta mtu ni muungwana ila wachache sana.
 
Sasa wewe na huyo Sallah mna tofauti gani? Nyinyi wote ni vibaka mnaostahili adhabu hasa wewe uliyejitokeza hapa.
Unajua maovu na unyama wa huyo mwenzako ila unataka kutoa mashariti ili usianike uovu wake. Wewe unastahili kuchapwa makofi kabisa utie adabu, Taja uovu wa Sallah hapa bila kusubiria kijana wako alipwe kama kweli wewe sio miongoni mwa hayo magenge ya uhalifu.
 
Aiseee
 
Mo ni tajiri kuwashinda hata Messi na Ronaldo wakiwa pamoja.

Utajiri wa MO hata siuoni upo sehemu gani ,SSB ana vitu vya maana halafu eti anacheza around 600-900m US$ wakati Tapeli MO ana mashamba ya katani aliyopora ,viwanda vya maji/juice/vibiriti/tambi alafu forbes wanasema ana usd 1.5B ,Uongo mtupu.(In Mzee mpili voice)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…