Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

Duuh
 
Shida hujui kitu ndo maaana hivi mfano mkristo akisema anasoma novena ni shirki?
Haisaidii kitu alichofanyiwa kaka njia kama ile ndio njia ya kulipiza kisasi.Halafu kitu kingine hakuna novena ya kumkomoa adui yako novena ni kwa ajili yako binafsi au kikundi mnaosali pamoja..narudia tena hapo ni chuma kwa chuma.
 
Matajiri wapo ulaya na sio hapa Tz huwezi kuwa tajiri then ulipe watu elfu nne kwa masaa 18
Uko sahihi kabisa DR!!!! MATAJIRI WA AFRIKA : Wakwepa kodi kwa kiwango kikubwa, wezi especially wanasiasa, wauza bidhaa fake , washirikina ila wapo wachache unaona kabisa wanapambana na wanazalisha bidhaa!!!! eg bakharesha , HILL WATER, JAMBO JUICE na MO. WENGINE JANJANJANJA TU GS.... , LAKE.... , SILENT......, OIL.... YAANI NI HATARI SANA!!!!!!!!!
 
Mkuu, watanzania asilia tunaroho fulani za ubinafsi na kirudishana nyuma. Ndiomana wenzetu waarabu, wahindi wanatuzidi mbali juu wao wametengeneza mfumo mzuri kwenye familia zao kurithishana biashara zao ndani ya familia.
YEAH PIA NA WEWE UNA POINT KUBWA SEMA WENGI WAO WAKANDAMIZAJI SANA YAANI MPKA KUIBIANA NDIYO UTOBOE?????? MBONA WAZUNGU WENGI NI TOFAUTI KABISA KWA JINSI YA KUJARI WAFANYKAZI?
 
Nawapenda sana WAGNER,MAFIA, YAKUZA nk yani wewe unawapa code no. Wao wanamaliza kazi kimya kimya, hata awe nani atamalizwa kimya kimya bila kujali status yake.
Some people are bandits but they pretend they are good people in the puplic eye.
Wagner lile group la Urusi au? Ni hatari
 
Pumbavu haya maneno ndio tunaonekana watanzania wajinga Sana na tunazidi kuonewa na wageni kwenye ardhi yetu.


Ifike muda tujue mantiki ya Jino Kwa Jino
 
Nimesoma hii taarifa na nimejaribu kufatilia je tangu ilipotoka hapa jukwaani kuna mrejesho wowote kutoka kwenye hizi Mamlaka na watu waliotajwa?
Kama haya mambo kwa mujibu wa mleta mada ni kweli, Hii ni zaid ya dhambi hata shetani mwenyewe huenda alikimbia kuogopa ushahidi kwa Mungu.
Mawazir, DC, Maji,Polisi!! yaani wote hawa wanajua hii dhulma? Na wapo Maofisini wanafanya kazi, Za kumtumikia nani? Mwananchi? Hapana...Mungu mwenyewe Kuna matendo haysameheki na ukiyaacha unakua sehemu ya huo Uovu.
Tutafunga kama kwa mikono yetu tumeshindwa kumalizana na hawa Waovu. Na hizi tuhuma kama zina ushahidi kabisa tutazifikisha kwa Mkuu wa nchi ili tujitoe kwenye ghadhabu za Mungu za kufumbia macho dhulma za namna hii.
Wazir, DC, Jaji uliyemtaja, watuhumiwa wa Uovu huo ni Muslims, hii haukubaliki kwenye Imani yetu, hakika kama ni kweli wanastahili kulaaniwa na kila Muislam kwa Uovu huo, nasema kama ni kweli, Sisi tutafunga kumshtakia Mungu kwa wenzetu hawa kutenda kinyume na Imani yetu.
Pole sana kwa hayo, sisi hatujui ila Mungu anajua na analipa hapa hapa.
 
Aiseee
 
Matajiri wengi wapo kwenye technology na sio kuuza vijuice sjui unga , hamna kitu , kdogo na kwenye e-commerce watu wanafanya vzur
 
Nimekumbuka tena kuna video si ndio
Video ziko nyingi tv news nyingi ziliripoti tukio jioni lakini uhalifu ulifanyika tokea alfajiri kuteka Mali zangu na wafanyakazi wangu wa pump kuwapora kila kitu na kikosi kiliingia kikiongozwa na mwarabu fighter bouncer na wengine walivaa musk na huyo Fahad akiwa na bastola anapiga kama mwandaazimu.
 
Hakuna mrejesho wowote wa maana zaidi ya kutetea dhulma.

Iliyobaki ni mh.rais tu na waziri mkuu tumepeleka but sijui kama itamfikia yeye au vipi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…