JAYJAY
JF-Expert Member
- Oct 31, 2008
- 8,191
- 8,490
Inawezekana kwa kuwa huko utopolo hakuna tajiri wa kufanana naye.Mbona namtetea SSB wakati mimi sio lambalamba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana kwa kuwa huko utopolo hakuna tajiri wa kufanana naye.Mbona namtetea SSB wakati mimi sio lambalamba?
Hivi mwanaume anapata vipi hisia juu ya mwanaume mwingine. Aisee, ulimwengu una maajabu yake.Basha nae ni MSENGEREMA wa juu
DuuhNimeona malalamiko ya mwenzetu kama binaadamu inasikitisha.
Hilo ni dogo Sana nikileta ushenzi waliyonifanyia Mimi hiyo familia ya GSM kudhulumu ardhi yangu kisa imekaa strategic na mahitaji Yao kigamboni basi nchi itazizima hii.
Mimi ni muumini wa serikali kwamba ipo na wapo serikalini watu wenye utu wa kusimamia haki za wanyonge.
Toka nimetoka gerezani Nina mwaka mmoja Kwa kesi ya kubambikiwa mauaji kisa wadhulumu ardhi yangu yenye kituo Cha mafuta na godown yenye value zaidi ya bilioni 7 Kwa kucheza deal na bank ya access na kunibambikia deni kutoka milioni 400 mpaka 1.8b Ili Kuni frustrate na wakauziana kinyemela bila kufata taratibu halali hata Moja na ushahidi wote upo Kwa familia nzima nimeutawanya Kwa serikali mbaya zaidi mahakama yote wameishika na wanasema mahakama zote zinakunywa chai salamander.
Kesi ya high court imehukumiwa na judge muhuni latifa mansour ambae ana mahusiano nao na nilivyo appeal wakacheza wakaipeleka Kwa ma judge wao na watunzia heshima.
Wasipojirekebisha kwenye review hakika nitawamwaga uchafu wao wote.
Tarehe 26/8/2021 baada ya uvamizi na kupora Mali zangu zengine zenye thamani zaidi ya milioni 500 na kutengenezewa kesi mbaya ya mauaji na GSM na vibaraka wake mapolisi na DC.kigamboni f.nyangasa.
Nimekaa gerezani keko from 4/9/21 to 18/3/22.
Nimeandika Kwa uchache tu nasubiria msaada Kwa jitihada ya mwisho tuliyoifanya kama familia kwenda mh.rais mama.
Na sisi ni waarabu wenzao na hatuogopi chochote ni Bora nife kuliko kudhulumiwa na kunyanyaswa kisa tajiri GSM dhulumaat .
Na Wala wasihangaike na Mimi vitisho vyao ni vingi kwangu mimi but siwaogopi na wanajua ninapoishi wajue siko peke yangu kesi hii mama yangu kaka zangu dada zangu na wake zangu na watoto zangu Tisa wote Wana kila evidence needed in their records.
Waziri wa mambo ya ndani na wizara yake yote wote wanajua. lolote likinipata basi watu Hawa ndiyo wahusika.
1.GSM
2.FSM
3.Silent ocean
4.said home shopping
5.na mapolisi wengi majina Nayahifadhi
Maana sijawahi kuona mpaka mawaziri wanajitoa akili kutetea dhulma ya huyu GSM na familia yake.
Tegemeo langu ni Allah(S.W)
Mh.rais Samia mama unaupiga mwingi Sana natumai malalamiko yangu uliyapata in writings and all evidence ndiyo tegemeo nililobaki nasubiri kwako na Kwa waziri mkuu mh.kassim majaaliwa.
Ahsanteni.
Haisaidii kitu alichofanyiwa kaka njia kama ile ndio njia ya kulipiza kisasi.Halafu kitu kingine hakuna novena ya kumkomoa adui yako novena ni kwa ajili yako binafsi au kikundi mnaosali pamoja..narudia tena hapo ni chuma kwa chuma.Shida hujui kitu ndo maaana hivi mfano mkristo akisema anasoma novena ni shirki?
Hahaha wenzako tulishasoma mrejesho tokea jana mkuu. Unakwama wapi?Bado dakika 15 zitimie 72 hrs
Uko sahihi kabisa DR!!!! MATAJIRI WA AFRIKA : Wakwepa kodi kwa kiwango kikubwa, wezi especially wanasiasa, wauza bidhaa fake , washirikina ila wapo wachache unaona kabisa wanapambana na wanazalisha bidhaa!!!! eg bakharesha , HILL WATER, JAMBO JUICE na MO. WENGINE JANJANJANJA TU GS.... , LAKE.... , SILENT......, OIL.... YAANI NI HATARI SANA!!!!!!!!!Matajiri wapo ulaya na sio hapa Tz huwezi kuwa tajiri then ulipe watu elfu nne kwa masaa 18
YEAH PIA NA WEWE UNA POINT KUBWA SEMA WENGI WAO WAKANDAMIZAJI SANA YAANI MPKA KUIBIANA NDIYO UTOBOE?????? MBONA WAZUNGU WENGI NI TOFAUTI KABISA KWA JINSI YA KUJARI WAFANYKAZI?Mkuu, watanzania asilia tunaroho fulani za ubinafsi na kirudishana nyuma. Ndiomana wenzetu waarabu, wahindi wanatuzidi mbali juu wao wametengeneza mfumo mzuri kwenye familia zao kurithishana biashara zao ndani ya familia.
Wagner lile group la Urusi au? Ni hatariNawapenda sana WAGNER,MAFIA, YAKUZA nk yani wewe unawapa code no. Wao wanamaliza kazi kimya kimya, hata awe nani atamalizwa kimya kimya bila kujali status yake.
Some people are bandits but they pretend they are good people in the puplic eye.
Pumbavu haya maneno ndio tunaonekana watanzania wajinga Sana na tunazidi kuonewa na wageni kwenye ardhi yetu.Ndugu pole,nasema haki ya mtu haipotei,itauchelewa ila itakuja tu.Na leo hii wanaweza kujiona miamba ila kama siyo kwao basi kwa kizazi chao matendo yao yatalipwa tu.Time will tell.Masikitiko yangu ni kwa hawa tunao waona kuwa ni viongozi wa wananchi ila ni wasulubishaji wa wananchi.DC,OCD,MAHAKAMA,........Kuleni kwa hao matajirii huku mkikandamiza wanyonge,msipolipiwa nyinyi basi kizazi chenu.Huyu ni baba ana family anatendewa hivi.MUDA UTAONGEA......,ENDELEENI KULA KWA TAJIRI
Hiki kisa nakikumbuka na hiyo station iliwahi tangazwa humu inauzwa.
Baadae ndio mkapiga a risasi, kwa sasa ni Engen
Hahaha wenzako tulishasoma mrejesho tokea jana mkuu. Unakwama wapi?
Nimesoma hii taarifa na nimejaribu kufatilia je tangu ilipotoka hapa jukwaani kuna mrejesho wowote kutoka kwenye hizi Mamlaka na watu waliotajwa?Nimeona malalamiko ya mwenzetu kama binaadamu inasikitisha.
Hilo ni dogo Sana nikileta ushenzi waliyonifanyia Mimi hiyo familia ya GSM kudhulumu ardhi yangu kisa imekaa strategic na mahitaji Yao kigamboni basi nchi itazizima hii.
Mimi ni muumini wa serikali kwamba ipo na wapo serikalini watu wenye utu wa kusimamia haki za wanyonge.
Toka nimetoka gerezani Nina mwaka mmoja Kwa kesi ya kubambikiwa mauaji kisa wadhulumu ardhi yangu yenye kituo Cha mafuta na godown yenye value zaidi ya bilioni 7 Kwa kucheza deal na bank ya access na kunibambikia deni kutoka milioni 400 mpaka 1.8b Ili Kuni frustrate na wakauziana kinyemela bila kufata taratibu halali hata Moja na ushahidi wote upo Kwa familia nzima nimeutawanya Kwa serikali mbaya zaidi mahakama yote wameishika na wanasema mahakama zote zinakunywa chai salamander.
Kesi ya high court imehukumiwa na judge muhuni latifa mansour ambae ana mahusiano nao na nilivyo appeal wakacheza wakaipeleka Kwa ma judge wao na watunzia heshima.
Wasipojirekebisha kwenye review hakika nitawamwaga uchafu wao wote.
Tarehe 26/8/2021 baada ya uvamizi na kupora Mali zangu zengine zenye thamani zaidi ya milioni 500 na kutengenezewa kesi mbaya ya mauaji na GSM na vibaraka wake mapolisi na DC.kigamboni f.nyangasa.
Nimekaa gerezani keko from 4/9/21 to 18/3/22.
Nimeandika Kwa uchache tu nasubiria msaada Kwa jitihada ya mwisho tuliyoifanya kama familia kwenda mh.rais mama.
Na sisi ni waarabu wenzao na hatuogopi chochote ni Bora nife kuliko kudhulumiwa na kunyanyaswa kisa tajiri GSM dhulumaat .
Na Wala wasihangaike na Mimi vitisho vyao ni vingi kwangu mimi but siwaogopi na wanajua ninapoishi wajue siko peke yangu kesi hii mama yangu kaka zangu dada zangu na wake zangu na watoto zangu Tisa wote Wana kila evidence needed in their records.
Waziri wa mambo ya ndani na wizara yake yote wote wanajua. lolote likinipata basi watu Hawa ndiyo wahusika.
1.GSM
2.FSM
3.Silent ocean
4.said home shopping
5.na mapolisi wengi majina Nayahifadhi
Maana sijawahi kuona mpaka mawaziri wanajitoa akili kutetea dhulma ya huyu GSM na familia yake.
Tegemeo langu ni Allah(S.W)
Mh.rais Samia mama unaupiga mwingi Sana natumai malalamiko yangu uliyapata in writings and all evidence ndiyo tegemeo nililobaki nasubiri kwako na Kwa waziri mkuu mh.kassim majaaliwa.
Ahsanteni.
AiseeeNimeona malalamiko ya mwenzetu kama binaadamu inasikitisha.

...Some Tena, UELEWE....Mbona unampangia mtu jambo lake? Jifunze kuheshimu maamuzi ya mtu
...a.Afadhali Umejibu Kiungwana! Kuna Mtu humu kadandia Treni Kwa mbele na Kudai kuwa nimekupangia Cha Kufanya!Nakumbuka sana. Takribani 30 yameshakatika.
Matajiri wengi wapo kwenye technology na sio kuuza vijuice sjui unga , hamna kitu , kdogo na kwenye e-commerce watu wanafanya vzurUko sahihi kabisa DR!!!! MATAJIRI WA AFRIKA : Wakwepa kodi kwa kiwango kikubwa, wezi especially wanasiasa, wauza bidhaa fake , washirikina ila wapo wachache unaona kabisa wanapambana na wanazalisha bidhaa!!!! eg bakharesha , HILL WATER, JAMBO JUICE na MO. WENGINE JANJANJANJA TU GS.... , LAKE.... , SILENT......, OIL.... YAANI NI HATARI SANA!!!!!!!!!
Video ziko nyingi tv news nyingi ziliripoti tukio jioni lakini uhalifu ulifanyika tokea alfajiri kuteka Mali zangu na wafanyakazi wangu wa pump kuwapora kila kitu na kikosi kiliingia kikiongozwa na mwarabu fighter bouncer na wengine walivaa musk na huyo Fahad akiwa na bastola anapiga kama mwandaazimu.Nimekumbuka tena kuna video si ndio
Hakuna mrejesho wowote wa maana zaidi ya kutetea dhulma.Nimesoma hii taarifa na nimejaribu kufatilia je tangu ilipotoka hapa jukwaani kuna mrejesho wowote kutoka kwenye hizi Mamlaka na watu waliotajwa?
Kama haya mambo kwa mujibu wa mleta mada ni kweli, Hii ni zaid ya dhambi hata shetani mwenyewe huenda alikimbia kuogopa ushahidi kwa Mungu.
Mawazir, DC, Maji,Polisi!! yaani wote hawa wanajua hii dhulma? Na wapo Maofisini wanafanya kazi, Za kumtumikia nani? Mwananchi? Hapana...Mungu mwenyewe Kuna matendo haysameheki na ukiyaacha unakua sehemu ya huo Uovu.
Tutafunga kama kwa mikono yetu tumeshindwa kumalizana na hawa Waovu. Na hizi tuhuma kama zina ushahidi kabisa tutazifikisha kwa Mkuu wa nchi ili tujitoe kwenye ghadhabu za Mungu za kufumbia macho dhulma za namna hii.
Wazir, DC, Jaji uliyemtaja, watuhumiwa wa Uovu huo ni Muslims, hii haukubaliki kwenye Imani yetu, hakika kama ni kweli wanastahili kulaaniwa na kila Muislam kwa Uovu huo, nasema kama ni kweli, Sisi tutafunga kumshtakia Mungu kwa wenzetu hawa kutenda kinyume na Imani yetu.
Pole sana kwa hayo, sisi hatujui ila Mungu anajua na analipa hapa hapa.