Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

Habari,naombeni kufaham mfanyabiashara km huyu kukaa na dola nyingi Nyumbani au ofisini kwake badala ya bank! Anayumbishaje uchumi wa inchi???na anatakatisha vp??
Malipo yanapofanyika cash kama hivyo, maana yake hakuna record ya hiyo transaction ya pesa, pia anapopokea Tshs off the hooks na kumnunulia mteja Bidhaa kwa dollars off the hooks hiyo ni sawa na kuendesha bureau de change bila kibali na anaikosesha serikali mapato yatokanayocna miamala husika, na kwa kuwa ni off the books, hata pesa za madawa ya kukevya zinaweza kutumika kuagiza mizigo na hivyo zimetoka kuwa chafu hadi kuwa safi baada ya mizigo husika kuuzwa
 
Thanks sana nimekuelewa
 
Hivi unamjua GSM kweli wewe?!

Ni GSM yupi ambae alihama nchi wakati wa JPM?!

Hapo juu ni October 11, 2020 Ghalib akiingia Uwanja wa Taifa huku akiwa na bashasha tele usoni


Hapo juu ni August 2020 Ghalib akiwa na familia yake Taifa

Sasa alihamia nchi ipi yenye huo uwanja?!
 
Jamaa hawajui tofauti ya GSM na manji
 
Pole sana MA ltd nakukumbuka vyema ila ulifeli kiasi ndugu yangu

Pole sana haki yako inakuja
 
Duh! Hii stori nilisikiaga mitandaoni. Kumbe upande wa pili hali ilikuwa hivi.

Hata ishu ya feitoto inaonekana huko kwa gsm kuna shida ila shida sisi tunasikilizia upande mmoja tu na hela zake anazotoa yanga lazima watu waamini 🤣🤣🤣 ila pesa ni kitu kingine 🤣
 
Pole sana!
 
Nchi hii hovyo sana! Katiba inadharauliwa kuliko maelezo!
 
Umefanya vyema kuweka rekodi humu hata kama serkali wanadai wameinunua hawatainunua siku zote. Tutashughulika na kizazi chao kama watakuwa wamekufa.
Nasema hivi Vyombo vya Usalama ni corrupt kupitia mfumo
Nipeni support nagombea urais 2025 sina chama. Siku naapishwa watangulie kabisa mahabusu bila shuruti.
Hawa hawakuwepo kipindi cha afande MKAMA SHARP
 
Sasa apeleke mahakamani vipi wakati ushaambiwa serikali ipo mfukoni mwa Salaah, haki ataipata hapa hapa, huko mahakamani wote wameshanunuliwa. Arudishe mali za watu au alipuliwe, ni masaa 72 tu kapewa
Kweli umenikumbusha, wakati tuko watoto, mtu akikuzidi nguvu, akikuganyia jambo, unamwacha apite, alafu unaokota jiwe unampiga nalo, unamtupia tusi, alafu unakimbia.
 
MAHAKAMA ZP HIZI ZA KIBONGO RUSHWA WAZI WAZI
 
Bado unamtegemea Rais akusaidie. Yule aliemwambia GSM "... Wala sikubinyi baba...."

Wanasiasa na watu wa coercive instruments sio wakuwaamini hata kidogo.

Kama kweli unataka pata haki Yako tafuta njia mbadala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…