FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Malipo yanapofanyika cash kama hivyo, maana yake hakuna record ya hiyo transaction ya pesa, pia anapopokea Tshs off the hooks na kumnunulia mteja Bidhaa kwa dollars off the hooks hiyo ni sawa na kuendesha bureau de change bila kibali na anaikosesha serikali mapato yatokanayocna miamala husika, na kwa kuwa ni off the books, hata pesa za madawa ya kukevya zinaweza kutumika kuagiza mizigo na hivyo zimetoka kuwa chafu hadi kuwa safi baada ya mizigo husika kuuzwaHabari,naombeni kufaham mfanyabiashara km huyu kukaa na dola nyingi Nyumbani au ofisini kwake badala ya bank! Anayumbishaje uchumi wa inchi???na anatakatisha vp??