Salaah (Silent Ocean) mrejeshee Kijana uliyetaifisha mali zake, nakupa saa 72

Kama Yeye na Kaka yake Wanaingia Ikulu zako zote mbili ya Wazaramo na ya Wagogo kama Chooni ( Watakavyo ) sidhani kama kwa huu Mkwara Mbuzi wako utafanikiwa lolote.
 
Du aisee. Hawa jamaa ni makatili na kumbe watu wengi mnajua madudu yao?

Na hao mabaunsa na ujinga na tamaa ya pesa wakaenda kumfanyia mwafrika mwenzao ujinga.

Hawa watu hakika ipo siku wataikimbia Tanzania.
 
Said Alikua Mkorofi sana...akamwagiwa Tindikali mpaka leo ni kilema usoni....

Kashfa unayotaka kuleta inajulikana,kashfa ya kuwapa hela hapa unaichukulia china au dubai ni ishu ya kawaida sana..enzi ya Magu matajiri wengi waliitumia..yaani ipo hivi...uko dubai au china na unataka kuingiza hela bongo..unawapa hela china...saa hiyo hiyo unapewa bongo...

Wale ni wachafu na sasa hv wana nguvu kwasababu ya Mr. Born Town...
 
Kama Yeye na Kaka yake Wanaingia Ikulu zako zote mbili ya Wazaramo na ya Wagogo kama Chooni ( Watakavyo ) sidhani kama kwa huu Mkwara Mbuzi wako utafanikiwa lolote.
Najua hilo. Hata sitafanikiwa jambo ambalo natamani watu wajue ni michezo wanayoifanya pale kariakoo.

Uzuri wa JF taarifa haizikwi milele. Kuna siku watatokea watu wenye dhamira nzuri na watakuwa na pa kuanzia.
 
Nikuambie tu ukwlei unaouma HAKUNA KITU CHOCHOTE UTAKACHOWEZA KUMFANYA SALAA WALA NDUGU YAKE GHARIBU WALA YEYOTE ANAYEHUSIANA NAO PAMOJA NA SILENT OCEAN. pole sana Mkuu
Mkuu mbona kama umepanic tangu mwanzo wa hii topic? Hatimae uzalendo umekushinda mpaka umejilipua.Tulia sisi wengine tunahesabu hayo masaa 72 tufunuliwe yale tusiyoyajua.
 

Acha wivu mzee kariakoo wamekukosea nini??
 
SIL3NT OCEAN msimlipe huyo kijana bana. Tunataka kuwafahamu kwa kina nyie na deals zenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…