mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Ah kabisaYap ni kweli mkuu pana muda hauwezi kuonewa kizembe kwenye Haki yako hata iwe iweje...
Mwanadam usimchukulie poa
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ah kabisaYap ni kweli mkuu pana muda hauwezi kuonewa kizembe kwenye Haki yako hata iwe iweje...
Chawa wake mtasoma na kumpelekea 😅sasa mbona unamtishia nyau,,, kama njia zote zimeshindikana kwanini usiweke hicho unachoita uchafu hapa? unafikir salaa atasoma haapa? au unafikiri anatishika na wewe? Wachafu hawachafuki boss
😀😀😀😀😀Nilipoonaga tu yule mwamba aliyetingisha dsm katulizwa na hawa
Nkasema YES vyuma vmerudi [emoji1]
Ova
Back up kubwa wanayoHao jamaa ni kiboko matatizo mengi ya watu wanaosafirisha vitenge kampuni tofauti na wao utasumbuliwa utasema TRU wanafanya kazi kumbe pana wahuni wametia kiberiti ukiwapa wao mzigo ni shwari kabisa...
kwa sababu umezoea kutoa mkyundyu kama fadhila ndio maana una mashaka ukifikiri kila mtu ana tabia za ki rainbow kama wewemtoto wa kiume ukimtetea mwanaume kisa udalali inatia sana shaka uanaume wako......
Bila mwamba hao jamaa muda huu wangekua na Meli zao za mizigo kutoka China achana na hizi za kukodi jamaa ni mamafia kweli...Back up kubwa wanayo
Ova
Yarabi tunusuru waja wako🏃🏃Back up kubwa wanayo
Ova
tatizo nawewe husomi vizuri yeye amesema alishatumia njia zote hajafanikiwa yaani njia za kidiplomasia kati yake na salaa, akaenda polisi nako wakamfukuza,, sasa unategemea kuna nini tena hapo? hata kama chawa wake watamfikishia unadhani kwamba yeye hajui kwamba kuna jambo linaendelea....tatizo huwa hampendi ukweli ila ukweli ni Kwamba hakuna kitu chochote anachoweza kumtisha wala kumfanya Salaaa,,,,,, Tajiri mtata kama salaaChawa wake mtasoma na kumpelekea 😅
tatizo nawewe husomi vizuri yeye amesema alishatumia njia zote hajafanikiwa yaani njia za kidiplomasia kati yake na salaa, akaenda polisi nako wakamfukuza,, sasa unategemea kuna nini tena hapo? hata kama chawa wake watamfikishia unadhani kwamba yeye hajui kwamba kuna jambo linaendelea....tatizo huwa hampendi ukweli ila ukweli ni Kwamba hakuna kitu chochote anachoweza kumtisha wala kumfanya Salaaa,,,,,, Tajiri mtata kama salaa
Chawa wa Boss naye ni BossSawa chawa wake ujumbe umefika lakini😅😅
[emoji17]dahBibi yetu kazi kurembua macho tu, yani hili janamke silipendi mpaka basi,
Mwijaku huyo 😅😅😅mtoto wa kiume ukimtetea mwanaume kisa udalali inatia sana shaka uanaume wako......
We dalali wa dizimu mtaji wenu waganga wa kienyeji 😅😅😅Chawa wa Boss naye ni Boss
Umelaaniwa ww labda kuwa na stara ya maneno kwa iyo ngozi nyuepe ndio imebarikiwa sio ,,tembea dunian uwe na exposure ya watu weupe pia ndio uje uongee hayo manenoNGOZI NYEUSI INA LAANA YA MILELE
Huwezi nielewa hadi yakukute ndipo utanielewa,Hii ngozi ina laaana ya milele na kamwe siwezi kuikubali ngozi nyeusi japo kuwa mimi ni mweusi,weusi wanapaswa kufa duniani watoweke maana ni laana
Hawa jamaa ni wachafu siku nyingi tu. Wana makandokando kibao mengine mpaka ya mauaji.Sisi tunasubiria haya mauchafu .
JPM aliwafanya Hawa jamaa wakaishi kipimbi pimbi mnooo !!.
Ila 2025, sio mbali
Naam karibu tukuhudumieWe dalali wa dizimu mtaji wenu waganga wa kienyeji 😅😅😅