Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chuki binafsi na udunduka wako una ushahidi?kwa kweli hawa waarabu wa Yemen wanayofanya ni aibu sana, hata Gharib ukimuona mbele za watu kama mtu lakini ni mtu m'baya sana.
Ni kweli kama anataka taarifa iwe transparent na imfikie huyo huyo tajiri hii si sehemu sahihi Sana ajilipue tu kwenye Radio na TV stations kama kweli anajiiminisasa mbona unamtishia nyau,,, kama njia zote zimeshindikana kwanini usiweke hicho unachoita uchafu hapa? unafikir salaa atasoma haapa? au unafikiri anatishika na wewe? Wachafu hawachafuki boss
Bado hayajafika hayo masaaDuh nachungulia kwa mbaaaaliii
Njaa baba njaaaaKiapo changu ni kile kile nitakuwa na mtanzania mwenzangu dhidi ya raia mwingine yoyote WA taifa lolote.
Natamani Sana huu msimamo tungekuwa nao watanzania wote. South Africa huwezi kukuta mwarabu au mchina au muhindi anajitapa mbele ya msouth Africa. Kule raia WA South Africa ndio WA Kwanza Kwa kila kitu.
Hapa tanzania unakuta jitu jeusi linamtetea Ghalib au Dewij wakati anaonea weusi wenzie
Mama yako ndio nimempa autunze.Chuki binafsi na udunduka wako una ushahidi?
[emoji1][emoji3][emoji3][emoji3]afu kweli ujueTena hao waarabu wana mila yao kwamba mwanamke hapaswi kuolewa kama hana bikra, hata kama ana miaka 30, kwahiyo wanachofanya ili kubakiza bikra ni kufanya kimyume na maumbile, anaweza akafanya kinyume na maumbile kuanzia ana miaka 18 hadi 28, na bado anakuwa bikra siku ya kufunga ndoa.., hiyo ndio inasababisha waarabu wengi kusambaza ushoga sehemu za mwambao wa Afrika mashariki. Sasa wakiona unatembea na dada yao wanajua directly kabisa umemla ndogo.., maana bikra lazima awe nayo..
Mchezo umeishaaVp kama silent ocean wakimalizana na huyo jamaa yako kabla ya saa 72?!
Ndo nimeingia mida hii siku ya jana nilikuwa busyWakati wengine wanasoma, we ulikuwa wapi
Ni ukatili piaVipi kuhusu kuwakata viungo Albino wakiwa hai,huo sio ushenzi na sio ukatili?
Vipi kuhusu kuua vikongwe kwa imani za kishirikina,huo sio ukatili na ushenzi?
Vipi kuhusu kuwachoma moto tena wakiwa hai wanaotuhumiwa kua ni vibaka,huo sio ukatili na ushenzi?
Si umeona washakuja kuleta utetezi brooTeh teh,
Ova
Wameingia vitani kumpambania boss wao[emoji1]Wadau,wateja zao,mashabiki wa kijani fc hawawezi kumuelewa mleta uzi [emoji1]
Ova
Ndio hivyo. Zinafika haraka kuliko TV, Radio na magazeti.We kumbe mshafikishia taarifa kweli jf nooomaaa
Wale Mungu tu aamue wafanyabiashara nomaaaa sana,Wana majini wachawi na waganga wakubwa wakubwa,makafara Yao wale ngamia na ng'ombe ,anapigiwa Dua mnyama anatitia chini,wanazikwa hai wale huwagusiYule Mganga alisema anawaweza lakini mpaka aende Congo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni kweli toka jana ni vikao tu. Huyo kaleta utetezi lakini sasa asubiri muda ufike. Ndio atajua utetezi wao umetosha au hautoshi?Si umeona washakuja kuleta utetezi broo
Duu. Ardhi inammeza mzimamzima? Utajiri wa hivyo hapana maana hukawii kumfanya mwanao zezeta.Wale Mungu tu aamue wafanyabiashara nomaaaa sana,Wana majini wachawi na waganga wakubwa wakubwa,makafara Yao wale ngamia na ng'ombe ,anapigiwa Dua mnyama anatitia chini,wanazikwa hai wale huwagusi
🤣🤣🤣🤣Wakati wengine wanasoma, we ulikuwa wapi
Masaa 72 bado tu hayajatimia? Au stop watch yangu nayo imestop.Kwa leo sitaandika mengi.
Najua tambo zako za sasa kuwa katika Serikali hii ya sasa mnaweza fanya lolote na hakuna wa kuwafanya kitu.
Najua ulivyojigeuza Serikali na kutaifisha mali na pesa za kijana huyo na ukaahidi utapiga nae hesabu na kumrejeshea kinachozidi na hujafanya hivyo toka June 14, 2022.
Hata kama mnasema Serikali ya sasa inawabeba basi iheshimuni japo kidogo kwa kutoifedhehesha.
Kumbuka kama ilitokea Serikali ikawafanya kuwa na adabu basi siku hazigandi.
Kumbuka kaka yenu mkubwa alikuwa akifanyia wanadamu wenzie ukatili lakini alimwagiwa tindikali na haohao mnaowaona wanyonge, na sasa anaishi kama panya maana haonekani in Public.
Najua mambo yote kampuni yenu inayofanya hapo kariakoo, hivyo masaa 72 yakipita bila kutafuta suluhu na kumpa huyo kijana Haki yake basi nitaaanika kila kitu hapa hadharani.
Naamini nikishaanika itakuwa aibu kwako na kampuni yako, hata kama Serikali ya sasa haitawachukulia hatua basi dunia itakuwa imejua mnayofanya gizani.
Vilevile mtapoteza heshima mliyonayo kama Silent Ocean kwa watu wasiowajua.
Na taarifa zenu tutamkabidhi Mwenyekiti wa Tume ya Haki Jinai, hata akipelekewa na asichukue hatua kwa kampuni yenu zitakuwa zimeingia kwenye record za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mengi nitaandika baada ya hayo masaa 72 kama utaendelea kuufanya moyo wako mgumu. Naamini juhudi zote za kidiplomasia zimekwishafanyika na umepuuza eti kwa kutamba hivi sasa serikali ni ya kwenu.
Tunakubali na kujua hayo yote brother, ila nikueleze huo unafiki wenu wa kujidai watu wema mbele za wanadamu huku mkiwatendea Watanzania hiyana basi una mwisho wake.
MmmhhhJamaa wana roho mbaya sana hao, Mimi nina habari zao kutoka kwa jamaa wawili ambao walishawahi kufanya kazi kwa huyu Mfadhili wa Yanga, Yaani huwa inasikitisha sana mmoja alikuwa ni Mwalimu alidhurumiwa hela ambayo ilikuwa ni dola 300 maana huyo jamaa alikuwa ni anawafundisha watoto wa Tajiri Tuition, Jamaa akatafuta Mganga awaroge ili alipwe hela yake yule Mganga akamwambia ukweli hawa Wana Majini sana hii kazi ni ngumu we Muombe Mungu ili ulipwe hela yako. Na Mwingine alikuwa ni Fundi Umeme kwenye Kiwanda cha Magodoro kule Mikocheni huyo jamaa alikatwa mkono kimiujiza huyo ndio aliniambia hiyo story ya Kaka Mtu aliyemwagiwa Tindikali nayo ni hivyo hivyo dhuluma. 😢 😢 😢 😢