nokwenumuya
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 820
- 2,896
- Thread starter
- #821
Majini hayana uwezo mbele ya Jehovalabda wamemuwahi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Majini hayana uwezo mbele ya Jehovalabda wamemuwahi
Nimejaa teleKakimbia uzi wake
Majini yatakutana na mjukuu wa chifu yamrudie mwenyeweMwaga upupu huo basi mkuu Salah aanze kujikuna naona unatupa robo robo au unaogopa kutupiwa kifurushi cha majini? Tupe maneno mkuu usitunyime weka Mambo hadharani masaa 72 yamekwisha tayari na Salah kaendeleza utata wake kaweka ngumu hela hajakupa haya mwaga uozo tuuone,
Njombe kiboko. Hukuti hao wahuni huko. Mtupe siri na sisi wa DodomaHawa waarabu na ndugu zao wahindi huku njombe tuliwatimuaga kitambo sana wamebaki wakenya na waachina pekee
Nakwambiaje hujapata mchawi wa Ukweli.
Mwaka jana TBC ilirushaa Sana sakata la yule mama mstaafu kule Musoma,yule mama alinunua kiwanja chenye mgogoro kilichompata lilikuwa gumzo...Yule mama alikuwa akibandika mboga akifunua imeliwa,anabandika ubwabwa akifunua Kuna poohpoooh,Moto unaanza tu kuwaka kwenye magodoro Mara kwenye makochi,Mara watoto wanakutana na Simba na nyoka,yaani ilikuwa kizaazaa,yule mama alikuwa msabato walikuja kufanya maombi wasabato wenzie ikagonga mwamba,wakaletwa wa Pentecost wakatoka kapa!ikabidi mama na familia wahame
Hivyo Kama unaamini Mungu jua Uchawi upo!hao unaosema mbona wametoka familia za kichawi na wametapeliwa huwezi jua roho zao labda hawajaamua kulipa visasi..
Dunia iina Mambo kijana,ungesema kuwaroga matajiri Kama hao Ni changamoto kwa vile wao ndio magwiji wa huo uchawi wenyewe,wanakula dawa,wanakunywa dawa,wanaoga dawa,wanapaka dawa wanalalia dawa!
Mungu ananilinda hadi sasa niko mzima.Mtoa mada apewe ulinzi... maana inawezekana anaenda kuangusha bomu kariakoo
Hana aibu na atachomwa moto karibu na shetani.Yaani Kikwete anashikana mikono na mbwa kama huyu? Huyu mzee vipi huyu, hana hata aibu?!
Feisal atapata taabu sana. Labda Bhakresa amsaidie.Kama haya yanayosemwa hapa kuhusu hao ni kweli hivi yule feisal atatoboza kweli kwa hawa jamaa?
saa 72 badoKwa leo sitaandika mengi.
Najua tambo zako za sasa kuwa katika Serikali hii ya sasa mnaweza fanya lolote na hakuna wa kuwafanya kitu.
Najua ulivyojigeuza Serikali na kutaifisha mali na pesa za kijana huyo na ukaahidi utapiga nae hesabu na kumrejeshea kinachozidi na hujafanya hivyo toka June 14, 2022.
Hata kama mnasema Serikali ya sasa inawabeba basi iheshimuni japo kidogo kwa kutoifedhehesha.
Kumbuka kama ilitokea Serikali ikawafanya kuwa na adabu basi siku hazigandi.
Kumbuka kaka yenu mkubwa alikuwa akifanyia wanadamu wenzie ukatili lakini alimwagiwa tindikali na haohao mnaowaona wanyonge, na sasa anaishi kama panya maana haonekani in Public.
Najua mambo yote kampuni yenu inayofanya hapo kariakoo, hivyo masaa 72 yakipita bila kutafuta suluhu na kumpa huyo kijana Haki yake basi nitaaanika kila kitu hapa hadharani.
Naamini nikishaanika itakuwa aibu kwako na kampuni yako, hata kama Serikali ya sasa haitawachukulia hatua basi dunia itakuwa imejua mnayofanya gizani.
Vilevile mtapoteza heshima mliyonayo kama Silent Ocean kwa watu wasiowajua.
Na taarifa zenu tutamkabidhi Mwenyekiti wa Tume ya Haki Jinai, hata akipelekewa na asichukue hatua kwa kampuni yenu zitakuwa zimeingia kwenye record za Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mengi nitaandika baada ya hayo masaa 72 kama utaendelea kuufanya moyo wako mgumu. Naamini juhudi zote za kidiplomasia zimekwishafanyika na umepuuza eti kwa kutamba hivi sasa serikali ni ya kwenu.
Tunakubali na kujua hayo yote brother, ila nikueleze huo unafiki wenu wa kujidai watu wema mbele za wanadamu huku mkiwatendea Watanzania hiyana basi una mwisho wake.
We mwanangu una balahhJux alishawahi share na Vanessa kwa mzee wa Mjengoni, unakumbuka kuachana kwao kwa 2017, wakapatana Fiesta Dar??
Ommy dimpoz ni mke halali wa Gavana Joho, tena bila Joho ommy asingekua hai had leo. Matibabu yote kule south juu ya JOHO, afu ile RR anayotembelea uulize kaporwa demu gan had apewee yeye, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ommy yuko karibu na GSM ni km shemu wao, [emoji23][emoji23][emoji23]
Mjini hapa dyadyaa, yaan Jux na Neddy hawa wanao kulana na manager wa hotel ya kifahari pale posta lol.
Wee mlongoo mbna jux n GAY, tena wana crew yao classic. sitaki kuamini hujui.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sahivi mambo wazi wazi.We mwanangu una balahh
Ova
aiseeee ...mji huu mgumu sanaJux alishawahi share na Vanessa kwa mzee wa Mjengoni, unakumbuka kuachana kwao kwa 2017, wakapatana Fiesta Dar??
Ommy dimpoz ni mke halali wa Gavana Joho, tena bila Joho ommy asingekua hai had leo. Matibabu yote kule south juu ya JOHO, afu ile RR anayotembelea uulize kaporwa demu gan had apewee yeye, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ommy yuko karibu na GSM ni km shemu wao, [emoji23][emoji23][emoji23]
Mjini hapa dyadyaa, yaan Jux na Neddy hawa wanao kulana na manager wa hotel ya kifahari pale posta lol.
Wee mlongoo mbna jux n GAY, tena wana crew yao classic. sitaki kuamini hujui.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sahivi mambo wazi wazi.
Una habari kinasa msukuma kaitwa obay central kisa kuwa kimahaba na comedian wa Kenya yule wa kiume anaigiza kike? Afu pia na hakika ruben
Nakuona katika Moja na mbiliJux alishawahi share na Vanessa kwa mzee wa Mjengoni, unakumbuka kuachana kwao kwa 2017, wakapatana Fiesta Dar??
Ommy dimpoz ni mke halali wa Gavana Joho, tena bila Joho ommy asingekua hai had leo. Matibabu yote kule south juu ya JOHO, afu ile RR anayotembelea uulize kaporwa demu gan had apewee yeye, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ommy yuko karibu na GSM ni km shemu wao, [emoji23][emoji23][emoji23]
Mjini hapa dyadyaa, yaan Jux na Neddy hawa wanao kulana na manager wa hotel ya kifahari pale posta lol.
Wee mlongoo mbna jux n GAY, tena wana crew yao classic. sitaki kuamini hujui.
mkuu jina lako umenikumbusha striker magoliNakuona katika Moja na mbili
Katika ubora wako
Mwenyezi Mungu huisikia Dua ya mtu aliyezulumiwa hata kama huwa haswali,yaani wewe ukizulumia mpeleke tu mumba wako mashtakaNiwakumbushe principle ya Kimungu, ukiamua kupambana na adui yako kwa njia zisizo za ki Mungu yeye hujitoa means zenu ziamue! Ila wote mtahukumiwa kwahilo labda toba iwaokoe.
Ila ukitumia njia ya Ki Mungu (kama injili inavyoelekeza juu ya adui) hukumu/kisasi kinakuwa juu ya Bwana! Hapo hata ufuge majini yote ya ulimwengu mzima utapigwa tu maana ni kisasi cha Bwana.
Usiombe umkosee mtu alafu akusamehe na kumuachia Mungu na awe mtu wa ibada! Utakutana na moto ukiwa hai.
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Wikipedia hata wewe waweza jiandikaDu ana USD 800million wakati tuanyemsikia ndie tajiri mkubwa Bongo MO ana utajiri wa USD 500 millioni, huyu bwana hata katika orodha ya walipa kodi wakubwa hayumo RIP Jembe Magu
Hahahaj ndio ndio bwana MBO MPENZA striker wa ubelgiji mwenye asili ya CONGO.mkuu jina lako umenikumbusha striker magoli
Inaonesha Tanzania imeshikwa na koo fulani fulaniOngezea na bin slum naye wote dugu
Hawa
Ova