Salaam za Eid El-Fitr 2020

No Hate No Fear!
 
No Hate No Fear!
 

Mwezi umeonekana Kashimil India sasa sijajua wale wa mwezi wa kimataifa kesho watakula idi au watawasubiria Saudi jumapiliView attachment 1456897

View attachment 1458198
Mimi tokea ijumaa nilitafuta mweI sikuuona,nikasikilizia BASUTA wakasema hawajathibitisha kuuona mwezi.

Nikaskia taarifa za watu tu kuwa umeonekana huku na kule,nikasema sifungui mpaka taasisi itangaze.
Moaka muda wa kula daku BASUTA hawajatangaza chochote kile nikala daku kwa nia ya ramadhaani.

Asubuhi wakatangaza na kuthibitisha kuwa umeoneka.nikanywa maji nikasali eid nyumbani kwangu na femili yangu.

Ile mentality ya kuwa tunafata saudia itoeni kwa sababu saudia wamwsali jpili idi na basuta wametangaza eid jmosi,hawakujali saudia imekuwaje wala nini.

Na huo ndio uadilifu wa basuta katika kuutafuta mwezi,wanazithibitisha taarifa ziwe za uhakika kisha ndo wanatangaza.

Katika kila hali sisi ambao tumefungua jmosi tuko tofauti na saudia na wala hilo halishughulishi.kwa sababu kufunga nabkufungua ni eidha uonekane mwezi au zitimie thelathini kamili.

Naam
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…