Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umeonekana wap mkuu au ndo mwezi wa indiia??
Fungua na wewe uzi watakie ccmSalaam za kibaguzi hizi kwanini useme watanzania wote badala ya wanachadema?
TUMEANZA KUTAKIANA HERI KICHAMA BAADAE ITAFUTIA KIUKABILA HALAFU KIKANDA
Salaam za kibaguzi hizi kwanini useme watanzania wote badala ya wanachadema?
Unapingana na katiba ya Chadema inayo imiza kutanguliza utaifa mbele. Vitu vya kuweka utaifa mbele ni kama sikukuu, miradi mikubwa kama sgr. jnhpp, flag carrier n.kNi vema na haki
In God we Trust
Haki gani uijuayo wewe!
Punguza ushamba wewe, ukitaka jukwaa la lugha lipo hapa ni siasa
In God we Trust
Hatutaki unafiki wauaji na wabaka democrasia hapana hatujasahau watu kama Mbowe wamelia baadhi ya sikukuu wakiwa gerezani kuna wengine ni vilema kwa sababu ya uhuni tu, Watakieni nyie vibaraka wao. mimi sipendagi unafiki
Huyu Mwamba serikali nzima inamuogopa vibaya mno !