Salama J vs Millard Ayo: Yupi ni mkali zaidi akifanya interview na msanii?

Mi nampenda Dijalo Alungu wa tibisii efuem anaongea kama ana maji mdomoni

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamani mbavu zangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

MAFANIKIO NA UBORA VITU SAWA, KIPIMO NI NAMBA, HAIEPUKIKI.


Ubora na mafanikio ni vitu pacha kijana embu elewa vizuri, tena mafanikio ni kipimo cha ubora fuatilia mifano dhahiri ifuatayo;

Mathalani, akitajwa mwanafunzi bora kitaaluma, basi atakae simama dhidi ya wengine ni yule aliyepiga hatua (hapa namba haiepukiki), anaweza akawa ndiye aliongoza darasani ama anafanya vizuri mtaani yaani ana mafanikio fulani na haya yanatathiminiwa kwa namba, yumkini ana fedha nyingi ama ameibua wanataaluma wengi ktk fani fulani n.k (nasisitiza hisabati na namba haziepukiki).

Ukitaja mchezaji bora, basi yumkini utaangalia idadi ya magoli na ni ishara ya mafanikio yake (namba haiepukiki).

Ukitafuta msanii bora, basi utaangalia kiasi ama idadi ya mfanikio mfano, je ana nyimbo kubwa zilizobamba yaani hit song ngapi? ama ameuza nakala ngapi? kwa wenzetu wana viwango mfano ukifikia idadi ya nakala kadhaa basi mauzo yako ama yatakuwa na hadhi ya platinum, gold n.k (namba haipekuki).

Ukitaka kulinganisha mtangazaji bora dhidi ya mwingine, ktk kutafuta nani ana kitu bora zaidi ya mwingine bila shaka utaangalia wingi wa sifa nzuri kisha utahitimisha nani bora zaidi ya mwingine na tukitaja wingi na uchache basi (namba haiepukiki).

Yatosha kusema, yawezekana hupendi namba ama huziwezi lakini haziepukiki ndo mzani wa tafiti ama hoja iliyofanyiwa tafiti inakuja na facts and figures sio maneno maneno tu.
 
Kibongo bongo namba sio ishu, ndo maana hata tukisema watanzania wote tusimchague magu, lakini matokeo yatakuja magu ni mshindi, namba waachie wazungu
Bahati mbaya sana, kanuni za mambo ya kidigitali ni universal yaani kwa tafsiri isiyo rasmi, kidunia dunia sio kibongo bongo ama Kitanzani tanzania.

Hisabati ama namba kama ni lugha basi ni ya kidunia yaani universal language, hutumika kuonyesha nani mkubwa ama bora kuliko mwingine vivyo hivyo, ni jibu la nani mdogo kuliko mwingine.

Maneno haya, ati ya Kibongo bongo hayatupi majibu maana tunashindania nani ana maneno kuliko mwingine ktk hoja.
 
Una mlinganisha Salama ktk enzi zile watu wengi hawana access ya internet ya uhakika,watu wengi hawana device za kuaccess internet kama sasa na Millard ambayo kwanza watu wengi wana access ya internet kwa uhakika wana device za uhakika za kuaccess internet.

Mfano mdogo Nasema nawe ya Diamond ina views 25milion ,lakin nikusaidieje ya Prof Jay au Starehe ya Ferooz sizani kama zinavuka 2milion ,je ina maana Nasema nawe ni bora kuliko nikusaidieje na starehe?

Mimi ubora wa mtangazi kwa naangalia ktk kazi yale kaleta mabadiliko gani?
Kwa Salama nitakuambia Salama ni mtangazaji pekee aliyeleta mapinduzi ya video upande wa bongo fleva na alikuwa haogopi kumkosoa mtu yoyote mf alikosoa mpaka video ya Kalapina yule wa Kikosi sio wa sasa hivi kaacha ukorofi.
Leo wasanii wa Bongo fleva na madirector wanatengeneza video bora kuliko zamani sababu ni Salama.


Pili uwezo wa kumuhoji muhusika bila kumuogopa.
So kutokana na sifa yake ya kutoogopa mtu,Salama ana uwezo wa kumchokonoa msanii yoyote yule au mtu yoyote wakati akimuhoji na akampa jibu japokuwa yy mwenyewe hapendi ila anajikuta tayari kishajibu.
 
Lil ommy + Millard Ayo = Salama

Sio kwa ubaya ila ukichukua tabia ya lil ommy ni kama salama wa planet bongo

Ukichukua za Millard ni kama Salama wa mkasi

Hivyo ntaenda na salama maana anaweza kubadilika na bado akawa amazing..
una Point sana
 
Millard Ayo yupo overrated sana. Salama anajua kutongoza watu anaofanyia interview. Lil Ommy maswali yake hayafanani na watangazaji wengine. Millard Ayo ni wa kawaida sana. Sauti yake ndo inambeba!


Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wapo wengi wana sauti nzuri kupita millard lakini hawamkutiii millard ktk utangazaji hata wapewe Ferari kumfukuzia.
 
kistuli ni something else
 
Reactions: EEX
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…