Nelly
JF-Expert Member
- Jan 25, 2020
- 3,338
- 6,327
nilie kisa nini😎😎😎Laiti ungejua!
We toa sifa za kazi kijana hayo mengine achana nayo!
Usije ukalia bure hapa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nilie kisa nini😎😎😎Laiti ungejua!
We toa sifa za kazi kijana hayo mengine achana nayo!
Usije ukalia bure hapa!
si unapenda sana kujua habari za kuta nne za watu!nilie kisa nini😎😎😎
Millard is the bestsi unapenda sana kujua habari za kuta nne za watu!
achana nazo tu!
yes!Millard is the best
😦😦😦😦yes!
hapo hapo panatosha!
usiongeze habari zingine.
Utabaki mdomo wazi Mkuu!
Mbona milard naye gayMillard is the best and not that lesbian
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] jamani mbavu zanguMi nampenda Dijalo Alungu wa tibisii efuem anaongea kama ana maji mdomoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Msiharibu image na brand za watu,kama mtu humkubali sema "si mkubali " simple kwani hauto pungukiwa na kitu.Mbona milard naye gay
Mzee kiufupi namba zinatumika sana lakini sio final maana kuna vitu vingi unapaswa kuviangalia...
Af tofautisha kuwa BORA na kuwa na MAFANIKIO.. ni sawa na kusema diamond ni msanii bora zaidi kuliko Barnaba sababu ya view za youtube, mali ama popularity.. utakuwa umefeli
Hapa tunaangalia ubora, thread ya mafanikio ikija tutaangalia namba zaidi
Bahati mbaya sana, kanuni za mambo ya kidigitali ni universal yaani kwa tafsiri isiyo rasmi, kidunia dunia sio kibongo bongo ama Kitanzani tanzania.Kibongo bongo namba sio ishu, ndo maana hata tukisema watanzania wote tusimchague magu, lakini matokeo yatakuja magu ni mshindi, namba waachie wazungu
Una mlinganisha Salama ktk enzi zile watu wengi hawana access ya internet ya uhakika,watu wengi hawana device za kuaccess internet kama sasa na Millard ambayo kwanza watu wengi wana access ya internet kwa uhakika wana device za uhakika za kuaccess internet.MAFANIKIO NA UBORA VITU SAWA, KIPIMO NI NAMBA, HAIEPUKIKI.
Ubora na mafanikio ni vitu pacha kijana embu elewa vizuri, tena mafanikio ni kipimo cha ubora fuatilia mifano dhahiri ifuatayo;
Mathalani, akitajwa mwanafunzi bora kitaaluma, basi atakae simama dhidi ya wengine ni yule aliyepiga hatua (hapa namba haiepukiki), anaweza akawa ndiye aliongoza darasani ama anafanya vizuri mtaani yaani ana mafanikio fulani na haya yanatathiminiwa kwa namba, yumkini ana fedha nyingi ama ameibua wanataaluma wengi ktk fani fulani n.k (nasisitiza hisabati na namba haziepukiki).
Ukitaja mchezaji bora, basi yumkini utaangalia idadi ya magoli na ni ishara ya mafanikio yake (namba haiepukiki).
Ukitafuta msanii bora, basi utaangalia kiasi ama idadi ya mfanikio mfano, je ana nyimbo kubwa zilizobamba yaani hit song ngapi? ama ameuza nakala ngapi? kwa wenzetu wana viwango mfano ukifikia idadi ya nakala kadhaa basi mauzo yako ama yatakuwa na hadhi ya platinum, gold n.k (namba haipekuki).
Ukitaka kulinganisha mtangazaji bora dhidi ya mwingine, ktk kutafuta nani ana kitu bora zaidi ya mwingine bila shaka utaangalia wingi wa sifa nzuri kisha utahitimisha nani bora zaidi ya mwingine na tukitaja wingi na uchache basi (namba haiepukiki).
Yatosha kusema, yawezekana hupendi namba ama huziwezi lakini haziepukiki ndo mzani wa tafiti ama hoja iliyofanyiwa tafiti inakuja na facts and figures sio maneno maneno tu.
Sichoki kumsikiliza salama Japo millard nae tatizo yule kakasalama is genius
born talented she has own interview skills and style
its all about uniqueness
Sent using Jamii Forums mobile app
ukiinama nchale ukiinuka nchaleDuu hapa ni kazi....
Ni sawa na kuambiwa uchague bora kati ya
Ribery vs Roben
una Point sanaLil ommy + Millard Ayo = Salama
Sio kwa ubaya ila ukichukua tabia ya lil ommy ni kama salama wa planet bongo
Ukichukua za Millard ni kama Salama wa mkasi
Hivyo ntaenda na salama maana anaweza kubadilika na bado akawa amazing..
Sidhani kama millard ni mnafkiUsimlinganishe Salama na wanafiki.
Mkuu wapo wengi wana sauti nzuri kupita millard lakini hawamkutiii millard ktk utangazaji hata wapewe Ferari kumfukuzia.Millard Ayo yupo overrated sana. Salama anajua kutongoza watu anaofanyia interview. Lil Ommy maswali yake hayafanani na watangazaji wengine. Millard Ayo ni wa kawaida sana. Sauti yake ndo inambeba!
Sent using Jamii Forums mobile app
kistuli ni something elseHuyu Millard Ayo kichwa kikubwa kama mkubwa wa siafu amshinde ecejay?!.Nguvu anayotumia Millard na Platform aliyonayo .Salama akitumia theluthi tu hakuna wa kumfikia East Africa nzima.Chukua Dozen + Millard +Mjukuu+ Lil Ommy+ watangazaji wa jahazi pia wapate na back up ya Shonza +Abbas + Mwakyembe bado hawamfikiii kistuli.
Lil Ommy apambanishwe na DJ Fetty (japo hatangazi)Umemshusha sana Lil Ommy.
Weight yake inaweza kuwa sawa na Salama.
Millard bado, ila yuko kwenye right track.
upo sahihiSalama ndo the best kwa upande wangu,,,,,yuko well focused on the subject matter,,,,ana listening skills ambazo zinamsaidia katika kumdodosa mdodoswaji!!
muda si mrefu kuna mwingine atakuja atasema anampenda Mboni masimba na show zake mbovu mbovu,tupo kwenye uhuru wa kuchagua sema Dijalo nae anajulikana kahama,shinyanga na mwanza sijui ana shida gani.Mi nampenda Dijalo Alungu wa tibisii efuem anaongea kama ana maji mdomoni
Sent using Jamii Forums mobile app