Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafurahi kujua uko poa dear,Naendelea vizuri kipenzi,.
Can we be friends ??🤩🙈
Wewe ni Lady?Hatimaye nimefikiwa. Fungua pm nije
Asante kipenziNafurahi kujua uko poa dear,
Wewe nitakutongoza bureee, nasikia ni mrembo balaa na mie nina ugonjwa na wadada warembo halafu petite 😋
Madam yule wako anakutosha..Ni muda sasa na mimi niwe na marafiki humu tunawasiliana na kuonana pia, ladies and ladies and other ladies karibuni sanaaaaa 🤗
Pona haraka LeeJay
Thanks🥰Asante kwa mrejesho Lord have mercy
Ukinikubali utaendelea, ukinikataa utaisha 😆Asante kipenzi
Kwamba ukinitongoza urafiki utaisha sio😃
Em ngoja tujaribu tuone😃,. Hata nikikukataa kistaarabu utaisha?Ukinikubali utaendelea, ukinikataa utaisha 😆
Madam yule wako anakutosha..
Hawa waachie vidume wamalizane nao tafadhali.
Sawa Doctor, acha niwaachie mashababi wajimalize 🙏😆Madam yule wako anakutosha..
Hawa waachie vidume wamalizane nao tafadhali.
Kawaida mwanaume anawaza ngono kila baada ya dakika 5Labda kama una tatizo.
Kawaida mwanaume kamili anawaza ngono kuliko kitu chochote
Madam anacheza home team.Madam anachezea timu mbili
Naijua hiyooooo,Em ngoja tujaribu tuone😃,. Hata nikikukataa kistaarabu utaisha?
Asijaribu tu kukubali. Maana hatochomoka tena..Naijua hiyooooo,
Mjanja sana wewe 🤣
😂 Dokta usinifanyie hivyo,.Naijua hiyooooo,
Mjanja sana wewe 🤣
Namna hiyo Dr.Sawa Doctor, acha niwaachie mashababi wajimalize 🙏😆
Ndo maana nimekaa kwanza pemben, vijana wakishindwa nitasaidia 🤭Asijaribu tu kukubali. Maana hatochomoka tena..
Madam anacheza home team.
Na anawapelekea moto wachezaji wa timu yake.
Ana balaa..
Nakufungulia Pm hadi moyo Lee, karibu tuwe bff 😍😂 Dokta usinifanyie hivyo,.
🎶 Awana be ur friend 🎶😌