Dr Restart
JF-Expert Member
- Jul 15, 2021
- 4,949
- 24,046
Hapo bab kubwa.Ndo maana nimekaa kwanza pemben, vijana wakishindwa nitasaidia 🤭
Vinginevyo utawanyakua, vijana wakose wachumba.
Kila la kheri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo bab kubwa.Ndo maana nimekaa kwanza pemben, vijana wakishindwa nitasaidia 🤭
Wozaaa🥰💃,. BFFNakufungulia Pm hadi moyo Lee, karibu tuwe bff 😍
Unaendeleaje tajirii?Wozaaa🥰💃,. BFF
Naendelea vizuri sana aisee,. Vipi wewe unaendeleaje?Unaendeleaje tajirii?
Natamani nimzuie.Nakufungulia Pm hadi moyo Lee, karibu tuwe bff 😍
Naendelea poa.Naendelea vizuri sana aisee,. Vipi wewe unaendeleaje?
Heee kwan uliweka jinsia ya kike pekee?Wewe ni Lady?
Thanks❤️🥰Naendelea poa.
Karibu
Nimekua kisirani niliona nikija nitakutukana bure bora nitulieDogo upo?
Ahsante umepoa..
Na bado 🤣🤣🤣Nimekua kisirani niliona nikija nitakutukana bure bora nitulie
JiandaeNa bado 🤣🤣🤣
Ukikasirika sana njoo tukana kisha tokomea.
Asante, je supu umeshanunua?Habari zenu kama tunavyojua mpendwa wetu Leejay49 alipata shida kidogo iliyopelekea kufanyiwa upasuaji wa sikio na jicho ni baada ya muda kidogo leo nimepata kuwasiliana nae
Anasema anaendelea vizuri kiaina na kutokana na hali yake ameshindwa kujibu tag zote alizokuta humu jukwaani (Bado hayuko fit kihivyo) hivyo kwa niaba yake ameniomba nije niwape taarifa kuwa yupo na anaendelea vizuri
Nimeambatanisha Screenshot as proof
View attachment 3074445View attachment 3074446
Basi naomba tuendelee kumuombea ili arejeee katika hali yake ya kawaida mapema na tumujuike nae humu
Jitahidi mkuuBado mkuu 🤣🤣😮💨