Salamu kutoka kwa member mwenzetu leejay49 "Yupo salama anaendelea vizuri"

Salamu kutoka kwa member mwenzetu leejay49 "Yupo salama anaendelea vizuri"

Habari zenu kama tunavyojua mpendwa wetu Leejay49 alipata shida kidogo iliyopelekea kufanyiwa upasuaji wa sikio na jicho ni baada ya muda kidogo leo nimepata kuwasiliana nae

Anasema anaendelea vizuri kiaina na kutokana na hali yake ameshindwa kujibu tag zote alizokuta humu jukwaani (Bado hayuko fit kihivyo) hivyo kwa niaba yake ameniomba nije niwape taarifa kuwa yupo na anaendelea vizuri

Nimeambatanisha Screenshot as proof

View attachment 3074445View attachment 3074446

Basi naomba tuendelee kumuombea ili arejeee katika hali yake ya kawaida mapema na tumujuike nae humu
Asante, je supu umeshanunua?
 
Back
Top Bottom