Ms R
JF-Expert Member
- Jan 19, 2023
- 8,853
- 19,587
Ostaaaaaadh taratibu yakheee 😂😂Phaller wewe 🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ostaaaaaadh taratibu yakheee 😂😂Phaller wewe 🤣🤣🤣🤣
Mungu ni mwema 🙏🙏🙏🙏🙏😍😍😍😍
Habari njema sana kuisikia mchana huu, nilikuwa nafikiria mambo mengi sana, ikiwemo Mahusiano na watu.
Miss Leejay49 we prayed for You.
Pole sana kwa Kuumwa na kupelekea kufanyiwa upasuaji wa sikio na jicho, ni faraja sana wetu kuona unaendelea kupata nafuu na kuimarika kwetu ni faraja sana mpaka umepiga chabo humu 🤣🤣🤣, tumekuwa tukikuombea kwa muda wote, tukatengeneza na bango kabisa na uzi tukauanzisha ni vizuri kuona umeanza kupona.
crdt kwa Poor Brain 👏👏👏 kwa kudesign banner. Mungu ni mwema kwa kukuponya, endelea kuwa na matumaini. Utarejea kwenye hali yako ya afya na uzima. Like Me Nilipata skull fracture na nilishapona kabisa na siku zote nimekuwa nikimshukuru Mungu kwa kila jambo.
Kwa takribani siku nne Ulikuwa kwenye mawazo yetu last night nikaendelea ku repost ile Hashtag ya #UponeHarakaLeejay❤️❤️❤️ na Bantu Lady akaendelea kukutakia heri katika hali uliyokuwa unapitia. Binafsi nafurahi sana kuona unarudi kwenye hali yako ya kawaida."**
Pole kwa mateso yote uliyopitia, ni wakati wa kurejea katika hali yako bora. Uvumilivu wako ni wa kupongezwa sana, hongera kwa kuwa na nguvu ya kupitia yote haya."
Nina furaha kubwa kwetu kuona unapata nafuu, sasa ni muda wa kuendelea na maisha kwa furaha na afya njema."**
Alhamdulillah for everything🙏
😑😑😑😑🙏Ostaaaaaadh taratibu yakheee 😂😂
hela nmekutumia bwan acha izo😑😑😑😑🙏
Pepsi iko wapi sasa
Anajiogopa sioKakwambia Tunda, sasa habari ya uzinzi imetoka wapi?
Hamna yaani na pale kwenye hey.... (pamesiribwa) mambounataka umfaham sura sio,,haitakiwi ivo humu ndani
Analeta drama siyo, anajidai Amita bachanAnajiogopa sio
Nyie jamaa sasa sio poaAnajiogopa sio
Namba ile ile 😅😅😅hela nmekutumia bwan acha izo
Anhaa sawa mkuuHaahahahahahah
Kataja jina langu shekh
Kama ulikuwepo vile umejuaje?