Salamu kutoka kwa member mwenzetu leejay49 "Yupo salama anaendelea vizuri"

Salamu kutoka kwa member mwenzetu leejay49 "Yupo salama anaendelea vizuri"

Daaah mkuuu kuna kitu umekisiriba apooo kwenye screenshot aiseee leejay ni shemu au??? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Anyway nimefurahi kusikia yupo salama na anaendelea vizuri mungu amsaidie apone kabisa
Hapana mzee
😍😍😍😍
Habari njema sana kuisikia mchana huu, nilikuwa nafikiria mambo mengi sana, ikiwemo Mahusiano na watu.
Miss Leejay49 we prayed for You.

Pole sana kwa Kuumwa na kupelekea kufanyiwa upasuaji wa sikio na jicho, ni faraja sana wetu kuona unaendelea kupata nafuu na kuimarika kwetu ni faraja sana mpaka umepiga chabo humu 🀣🀣🀣, tumekuwa tukikuombea kwa muda wote, tukatengeneza na bango kabisa na uzi tukauanzisha ni vizuri kuona umeanza kupona.
crdt kwa Poor Brain πŸ‘πŸ‘πŸ‘ kwa kudesign banner. Mungu ni mwema kwa kukuponya, endelea kuwa na matumaini. Utarejea kwenye hali yako ya afya na uzima. Like Me Nilipata skull fracture na nilishapona kabisa na siku zote nimekuwa nikimshukuru Mungu kwa kila jambo.
Kwa takribani siku nne Ulikuwa kwenye mawazo yetu last night nikaendelea ku repost ile Hashtag ya #UponeHarakaLeejay❀️❀️❀️ na Bantu Lady akaendelea kukutakia heri katika hali uliyokuwa unapitia. Binafsi nafurahi sana kuona unarudi kwenye hali yako ya kawaida."**
Pole kwa mateso yote uliyopitia, ni wakati wa kurejea katika hali yako bora. Uvumilivu wako ni wa kupongezwa sana, hongera kwa kuwa na nguvu ya kupitia yote haya."
Nina furaha kubwa kwetu kuona unapata nafuu, sasa ni muda wa kuendelea na maisha kwa furaha na afya njema."**

Alhamdulillah for everythingπŸ™
Amina ila hiyo banner sijaiona vp huwezi forwad
 
Hapana mzee

Amina ila hiyo banner sijaiona vp huwezi forwad
Kuna uzi humu niliuanzisha. Hiyo hapo
downloadfile-51.jpg
 
Back
Top Bottom