Salamu kwa Tutu zinapowaamsha watema Nyongo

Salamu kwa Tutu zinapowaamsha watema Nyongo

navyo mjua SSH, kwa msg hizi wiki nzima atajifungia analia………………… ni mwepesi kuliko kilo sufu

Taabu yote ya nini? Kwani mzizi wote wa fitina haujui?

Si ni kutenda haki na kwa usawa, akawapa watu uhuru wao na ya wengi akayaridhia?

Kwa hayo tu, si misuguano yote ingekwisha na mi5 mingine ya haki ingemhusu.

Angalia aliko sasa. Mwache avune dengu anazopanda.
 
Awe Archbishop Emeritus au Archbishop au Bishop everything is irrelevant anapokuwa nyama ya udongo. Hizo titles sawa na utajiri zinabaki hazina maana kwa kuwa wanadamu wote uhai ukishatoka kinachobaki ni cheo kimoja; marehemu au maiti.

Wakosoaji wa SAMIA mtaumiza sana vichwa kutafuta dosari, ila Mama anaupiga mwingi japo hamumkubali mdomoni lakini rohoni mnamkubali
Akili ndogo kabisa. Si Shangai kama Kenya ni wa saba africa kwa elimu. Na sisi ni mwisho
 
I'm deeply touched by the death of a true AFRICA's hero who never shut his mouth down against oppressions in Africa. Sending my utmost condolences to the people of S. Africa and may his soul rest in peace
Nauliza sana maskofu wetu huwa wanafanya nini katika kipindi kigumu kama alichopitia askofu mkuu huyu Tutu
 
Akili ndogo kabisa. Si Shangai kama Kenya ni wa saba africa kwa elimu. Na sisi ni mwisho
Kama wazazi wako hawakukupeleka shule ukasoma lazima uwaogope Wakenya.

Nakushauri kama ulishiia la7 waweza kujiandikisha QT au MEMKWA Ili upate credentials za O-Level kisha utafute namna ya Ku pursue mature entry programs za colleges
 
CCM ukikwepa kufuli la ubongo, la mdomo lazima likuhusu.

IMG_20211223_225230_042.jpg
 
Bora tungeiga mfumo wa majirani zetu,tuwakaribie kuliko huu ujinga uliopo.

Nimependa mtizamo wa Tutu wa "wanao ona utesaji na wanakaa kimya,wapo upande wa watesaji"
R.I.P Tutu

Sasa hivi Askofu Mwingira anaelekea kwenda kutiwa kufuli. Angalia kimya kilichopo.

Wako wapi wadau wengine? Yuko wapi mdau Yoda?

Aungwe Mkono Askofu Mwingira kukemea Maovu

Wengi wa wakaao kimya pia ni watakao kula matunda bila kushiriki kuyatafuta.
 
Wana mengi ya kuficha. Ngoja watape tape kwanza.
Wanaishi kwa mashaka mashaka matupu,
Na wasiwasi mwingi kama vile wanapika UCHAWI..😀😃😄 wanaogopa watu wasione na kuuliza mnapika nini😀
 
Ubinafsi uliopitiliza ni tatizo kubwa sana.

Hata Zuma hakujua kama ni mbinafsi akidhani huo ndiyo ulikuwa uzalendo.
Kama ubinafsi uliokithiri ndani ya ccm na serikali yake... Wenye mawazo tofauti wanaonekana wasiostahili kuishi!
Ajabu ni wabinafsi hao hao ndo wakwanza kummwagia sifa Archbishop Tutu
 
Wanaishi kwa mashaka mashaka matupu,
Na wasiwasi mwingi kama vile wanapika UCHAWI..😀😃😄 wanaogopa watu wasione na kuuliza mnapika nini😀

Kwa mukthadha wa waziri Simbachawene, Sirro na kamanda Muliro, watu kama kina Askofu Tutu walikuwa ni wahalifu.

Majibu ya chuki na hasira yanayomkuta Hangaya ni kwa sababu naye ni muumini wa kimtizamo na kina Simbachawene.

Tuukatae ubazazi huu:

Aungwe Mkono Askofu Mwingira kukemea Maovu

Kina Tutu hawakutokea hewani. Waliungwa mkono kwa dhati. Hiyo iliwapa nguvu za kusonga mbele.

Tuzikatae nadharia mfu:

"Askofu Mwingira hajachuma janga la kula na wa kwao."

Askofu Mwingira ni Tutu wa wakati wetu.
 
Tanzania hakuna viongozi wa dini... kuna madalali wa waumini!!

Vipi kuhusu viongozi serikalini, hao wapo?

Vipi kuhusu jeshi la polisi, nalo je lipo?

Vipi mahakama, tume ya uchaguzi, bunge nk?

Vipi haki, usawa, Uhuru au demokrasia? Vipo?

Uungaji wetu mkono kwa wanaojitokeza uko je? Si kuwa yakimkuta aliyetangulia tuliobaki tunaingia mitini?

Si kuwa wala matunda wapo ila si watafuta matunda?

Ninakazia: Aungwe Mkono Askofu Mwingira kukemea Maovu
 
Ikulu yetu hawajui the late Tutu official title yake ni Archbishop or more precisely Archbishop Emeritus na sio just Bishop? Kila siku tunatamka Askofu Mkuu Desmond Tutu haieleweki? Diplomasia yetu inayumba sometimes ... u-Bishop aliuacha miaka mingi sana. Mama amepotoshwa tena ...

Kitu ambacho huwa najiuliza mbona kagame account yake ya Twitter inaonekana kama anaendesha mwenyewe tofauti na sie changamoto inaweza kua wapi?
 
Nimemkumbuka Yule wa magogoni mwana wa afrika, shujaa [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kitu ambacho huwa najiuliza mbona kagame account yake ya Twitter inaonekana kama anaendesha mwenyewe tofauti na sie changamoto inaweza kua wapi?

Hapo juu za kina Biden, Obama, Kamala, Boris, Sanders ni wenyewe in person.

Weledi baba.

Wetu ni unfit na huo ndiyo ulio ukweli mchungu.
 
Awe Archbishop Emeritus au Archbishop au Bishop everything is irrelevant anapokuwa nyama ya udongo. Hizo titles sawa na utajiri zinabaki hazina maana kwa kuwa wanadamu wote uhai ukishatoka kinachobaki ni cheo kimoja; marehemu au maiti.

Wakosoaji wa SAMIA mtaumiza sana vichwa kutafuta dosari, ila Mama anaupiga mwingi japo hamumkubali mdomoni lakini rohoni mnamkubali
All what you have written are correct...

Lakini kinachokosolewa hapa siyo umarehemu au uhai wa mtu ni utoaji taarifa sahihi kwetu sisi tulio hai. Mtoa taarifa (Rais Samia) si marehemu, hajarudi udongoni, yu hai. Huyo ndiye tunaongea naye hapa na siyo Tutu aliyekwisha kufa...!

By the way, lazima tuelewe kuwa, it's a grievous mistake kwa mkuu wa nchi [Rais] kupitia kwa wasaidizi wake kutokuwa na taarifa sahihi ya kile wanachokitolea taarifa (PRESS RELEASE) tena kikiihusu nchi/taifa jingine halafu ndani ya taarifa hiyo kunakuwa na upotofu...

Hatuwezi kujifariji kwa makosa haya ya pengine uzembe tu. Lazimà watu waseme ili viongozi wetu wajirekebishe na kuwa makini zaidi...
 
All what you have written are correct...

Lakini kinachokosolewa hapa siyo umarehemu au uhai wa mtu ni utoaji taarifa sahihi kwetu sisi tulio hai. Mtoa taarifa (Rais Samia) si marehemu, hajarudi udongoni, yu hai. Huyo ndiye tunaongea na siyo Tutu aliyekwisha kufa...!

By the way, lazima tuelewe kuwa, it's a grievous mistake kwa mkuu wa nchi [Rais] kupitia kwa wasaidizi wake kutokuwa na taarifa sahihi ya kile wanachokitolea taarifa (PRESS RELEASE) tena kikiihusu nchi/taifa jingine halafu ndani ya taarifa hiyo kunakuwa na upotofu...

Hatuwezi kujifariji kwa makosa haya ya pengine uzembe tu. Lazimà watu waseme ili viongozi wetu wajirekebishe na kuwa makini zaidi...

Akikuelewa usiache kutuletea mrejesho
 
Pumzika kwa Amani Arc Bishop Tutu, kuna mengi dunia itajifunza daima. Pamoja na ukatili wote makuburu hawakudiriki weka upanga dhidi yake, Makaburu weusi wanavuruga ,kuiba chaguzi, wanateka, , kupoteza, marisasi, kuua.
 
Back
Top Bottom