Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Vipi kuhusu viongozi serikalini, hao wapo?
Vipi kuhusu jeshi la polisi, nalo je lipo?
Vipi mahakama, tume ya uchaguzi, bunge nk?
Vipi haki, usawa, Uhuru au demokrasia? Vipo?
Uungaji wetu mkono kwa wanaojitokeza uko je? Si kuwa yakimkuta aliyetangulia tuliobaki tunaingia mitini?
Si kuwa wala matunda wapo ila si watafuta matunda?
Ninakazia: Aungwe Mkono Askofu Mwingira kukemea Maovu
Hiyo courage ya Tutu ya mwaka 1985 haipo hapa Tanzania.