navyo mjua SSH, kwa msg hizi wiki nzima atajifungia analia………………… ni mwepesi kuliko kilo sufu
Akili ndogo kabisa. Si Shangai kama Kenya ni wa saba africa kwa elimu. Na sisi ni mwishoAwe Archbishop Emeritus au Archbishop au Bishop everything is irrelevant anapokuwa nyama ya udongo. Hizo titles sawa na utajiri zinabaki hazina maana kwa kuwa wanadamu wote uhai ukishatoka kinachobaki ni cheo kimoja; marehemu au maiti.
Wakosoaji wa SAMIA mtaumiza sana vichwa kutafuta dosari, ila Mama anaupiga mwingi japo hamumkubali mdomoni lakini rohoni mnamkubali
Nauliza sana maskofu wetu huwa wanafanya nini katika kipindi kigumu kama alichopitia askofu mkuu huyu TutuI'm deeply touched by the death of a true AFRICA's hero who never shut his mouth down against oppressions in Africa. Sending my utmost condolences to the people of S. Africa and may his soul rest in peace
Kama wazazi wako hawakukupeleka shule ukasoma lazima uwaogope Wakenya.Akili ndogo kabisa. Si Shangai kama Kenya ni wa saba africa kwa elimu. Na sisi ni mwisho
Kama wazazi wako hawakukupeleka shule ukasoma lazima uwaogope Wakenya.
Nakushauri kama ulishiia la7 waweza kujiandikisha QT au MEMKWA Ili upate credentials za O-Level kisha utafute namna ya Ku pursue mature entry programs za colleges
Bora tungeiga mfumo wa majirani zetu,tuwakaribie kuliko huu ujinga uliopo.Akili ndogo kabisa. Si Shangai kama Kenya ni wa saba africa kwa elimu. Na sisi ni mwisho
Bora tungeiga mfumo wa majirani zetu,tuwakaribie kuliko huu ujinga uliopo.
Nimependa mtizamo wa Tutu wa "wanao ona utesaji na wanakaa kimya,wapo upande wa watesaji"
R.I.P Tutu
Wanaishi kwa mashaka mashaka matupu,Wana mengi ya kuficha. Ngoja watape tape kwanza.
Kama ubinafsi uliokithiri ndani ya ccm na serikali yake... Wenye mawazo tofauti wanaonekana wasiostahili kuishi!Ubinafsi uliopitiliza ni tatizo kubwa sana.
Hata Zuma hakujua kama ni mbinafsi akidhani huo ndiyo ulikuwa uzalendo.
Tanzania hakuna viongozi wa dini... kuna madalali wa waumini!!Sasa hivi Askofu Mwingira anaelekea kwenda kutiwa kufuli. Angalia kimya kilichopo.
Wako wapi wadau wengine? Yuko wapi mdau Yoda?
Aungwe Mkono Askofu Mwingira kukemea Maovu
Wengi wa wakaao kimya pia ni wanatakao kula matunda bila kushiriki kuyatafuta.
Wanaishi kwa mashaka mashaka matupu,
Na wasiwasi mwingi kama vile wanapika UCHAWI..😀😃😄 wanaogopa watu wasione na kuuliza mnapika nini😀
Tanzania hakuna viongozi wa dini... kuna madalali wa waumini!!
Ikulu yetu hawajui the late Tutu official title yake ni Archbishop or more precisely Archbishop Emeritus na sio just Bishop? Kila siku tunatamka Askofu Mkuu Desmond Tutu haieleweki? Diplomasia yetu inayumba sometimes ... u-Bishop aliuacha miaka mingi sana. Mama amepotoshwa tena ...
Kitu ambacho huwa najiuliza mbona kagame account yake ya Twitter inaonekana kama anaendesha mwenyewe tofauti na sie changamoto inaweza kua wapi?
All what you have written are correct...Awe Archbishop Emeritus au Archbishop au Bishop everything is irrelevant anapokuwa nyama ya udongo. Hizo titles sawa na utajiri zinabaki hazina maana kwa kuwa wanadamu wote uhai ukishatoka kinachobaki ni cheo kimoja; marehemu au maiti.
Wakosoaji wa SAMIA mtaumiza sana vichwa kutafuta dosari, ila Mama anaupiga mwingi japo hamumkubali mdomoni lakini rohoni mnamkubali
All what you have written are correct...
Lakini kinachokosolewa hapa siyo umarehemu au uhai wa mtu ni utoaji taarifa sahihi kwetu sisi tulio hai. Mtoa taarifa (Rais Samia) si marehemu, hajarudi udongoni, yu hai. Huyo ndiye tunaongea na siyo Tutu aliyekwisha kufa...!
By the way, lazima tuelewe kuwa, it's a grievous mistake kwa mkuu wa nchi [Rais] kupitia kwa wasaidizi wake kutokuwa na taarifa sahihi ya kile wanachokitolea taarifa (PRESS RELEASE) tena kikiihusu nchi/taifa jingine halafu ndani ya taarifa hiyo kunakuwa na upotofu...
Hatuwezi kujifariji kwa makosa haya ya pengine uzembe tu. Lazimà watu waseme ili viongozi wetu wajirekebishe na kuwa makini zaidi...