Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Vipi kuhusu viongozi serikalini, hao wapo?
Vipi kuhusu jeshi la polisi, nalo je lipo?
Vipi mahakama, tume ya uchaguzi, bunge nk?
Vipi haki, usawa, Uhuru au demokrasia? Vipo?
Uungaji wetu mkono kwa wanaojitokeza uko je? Si kuwa yakimkuta aliyetangulia tuliobaki tunaingia mitini?
Si kuwa wala matunda wapo ila si watafuta matunda?
Ninakazia: Aungwe Mkono Askofu Mwingira kukemea Maovu
Haipo kwa sababu tulisha pata uhuru!View attachment 2060003
Hiyo courage ya Tutu ya mwaka 1985 haipo hapa Tanzania.
ItasemwaIkulu yetu hawajui the late Tutu official title yake ni Archbishop or more precisely Archbishop Emeritus na sio just Bishop? Kila siku tunatamka Askofu Mkuu Desmond Tutu haieleweki? Diplomasia yetu inayumba sometimes ... u-Bishop aliuacha miaka mingi sana. Mama amepotoshwa tena ...
Kwa watu wa protocol na diplomasia hii ni fatal mistake.Awe Archbishop Emeritus au Archbishop au Bishop everything is irrelevant anapokuwa nyama ya udongo. Hizo titles sawa na utajiri zinabaki hazina maana kwa kuwa wanadamu wote uhai ukishatoka kinachobaki ni cheo kimoja; marehemu au maiti.
Wakosoaji wa SAMIA mtaumiza sana vichwa kutafuta dosari, ila Mama anaupiga mwingi japo hamumkubali mdomoni lakini rohoni mnamkubali
You're still acting like a kid!Awe Archbishop Emeritus au Archbishop au Bishop everything is irrelevant anapokuwa nyama ya udongo. Hizo titles sawa na utajiri zinabaki hazina maana kwa kuwa wanadamu wote uhai ukishatoka kinachobaki ni cheo kimoja; marehemu au maiti.
Wakosoaji wa SAMIA mtaumiza sana vichwa kutafuta dosari, ila Mama anaupiga mwingi japo hamumkubali mdomoni lakini rohoni mnamkubali
Haipo kwa sababu tulisha pata uhuru!
Unge sikiliza maneno na busara za Robert Mugabe, ungejua kuwa Archbishop Desmond Tutu hakuwa shujaa wa Africa.
View attachment 2060003
Hiyo courage ya Tutu ya mwaka 1985 haipo hapa Tanzania.
... Ikulu kumejaaa wataalamu wa kila idara, fani, n.k. Kujua proper ways to address people; specifically diplomats, ni basic communication skills! Her Majesty; Your Highness; Her Excellence; etc. Hebu kwa mfano Her Majesty the Queen um-address Your Honorable kama hujazua mengine dunani. Tunachosema hapa kosa sio kosa bali kulirudia, Ikulu wamshauri vizuri Mh maana tweets zake ni kauli rasmi ya Serikali na sio yake mwenyewe.Itasemwa
Kiongozi wetu sio Mkristu
Kama ilivyo geuzwa BBC
Mbowe Gaidi kuwa Mbowe hana Adabu
Haipo kwa sababu tulisha pata uhuru!
... Ikulu kumejaaa wataalamu wa kila idara, fani, n.k. Kujua proper ways to address people; specifically diplomats, ni basic communication skills! Her Majesty; Your Highness; Her Excellence; etc. Hebu kwa mfano Her Majesty the Queen um-address Your Honorable kama hujazua mengine dunani. Tunachosema hapa kosa sio kosa bali kulirudia, Ikulu wamshauri vizuri Mh maana tweets zake ni kauli rasmi ya Serikali na sio yake mwenyewe.
Vitu vya kipuuzi sana hivyo naona mnavishiia bango. Akina Obama walikuwa Maprofesa wa vyuo lakini hata siku moja nomenclature haijawahi kuwa kituKwa watu wa protocol na diplomasia hii ni fatal mistake.
Duh, Kama nchi, ni aibu Kiana. Hii inaonyesha jinsi ambavo hatupo serious pia kwenye Mambo mengine.
Vitu vya kipuuzi sana hivyo naona mnavishiia bango. Akina Obama walikuwa Maprofesa wa vyuo lakini hata siku moja nomenclature haijawahi kuwa kitu