CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
WAKUU.
Mimi ni shabiki mi ndaki ndaki wa Simba sports club, na pia ni MTAALAM wa taaluma ya coaching.
Nimewafuata viongozi wa Simba inbox na ana kwa ana kuwashauri mambo ya msingi ya kuyafanya hasta KAMATI ya usajili.
1. Nilishauri kuwa Simba Haina kiungo wa UKABAJI CDM Viungo wengi waliopo ni BOX TO BOX.
Baada ya Lwanga kuumia hatuna kiungo wa UKABAJI namba sita wakakakaa kimya na kunibeza.
2. Niliwashauri kutafuta mshambuliaji wa Maana kariba ya mayele ambaye ni cezer Lobi Manzoki wameshindwa Hadi sasa. Hivi UNAMUACHA mugalu na kagele unatuletea MZUNGU wa KUKAA benchi?
3. Niliwashauri kuwa na uvumilivu wa Hawa makocha mtindo wa kubadili Sana makocha unaigharimu timu. Mmepoteza kocha mzuri kama gomezi itawachukua miaka kupata kocha aina ya Gomezi.
4 Mazoezi kukosa privacy, Hili nalo nimekuwa nilishauri. Utulivu unakosekana Sana wakati wa Mazoezi.
5. Simba unashindwa kuzichanga vizuri Nje ya uwanja inapocheza na Yanga, watu kama akina kaduguda, Dalali , Rage nk wapewe heshima zao na waheshimiwe mawazo na ushauri wao. Kimya.
6. Sina mengi ya kujadili kuhusu mchezo wa Leo yote niliyajua na niliyaona.
BILA MAONGEZO YA CDM NA MSHAMBULIAJI MANZOKI UBINGWA TUTAUSIKIA KWENYE REDIO.
TRY AGAIN NA MANGUNGU MJIUZURU KAZI IMEWASHINDA.